Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma

Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma, Religious organisation, Dodoma.

Ilikuwa Ibada ya jumapili iliyopita, usikose jumapili ya tarehe 05/02/2017
31/01/2017

Ilikuwa Ibada ya jumapili iliyopita, usikose jumapili ya tarehe 05/02/2017

28/01/2017

Yesu akupe Ishara ktk Ibada ya kesho na watu wote wajue Mungu yu pamoja nawe.

Pokea Ishara ktk Jina Yesu
25/01/2017

Pokea Ishara ktk Jina Yesu

Tunaendelea Kukukumbusha Ibada maalumu ya KUREJESHA NYOTA ZILIZOIBIWA KICHAWI!USIKOSE!!!Barikiwa...
14/10/2016

Tunaendelea Kukukumbusha Ibada maalumu ya KUREJESHA NYOTA ZILIZOIBIWA KICHAWI!
USIKOSE!!!

Barikiwa...

Usipange Kukosa hii... Mkaribishe Ndugu, Jamaa Pamoja na Rafiki yako!Mungu Akubariki...
13/10/2016

Usipange Kukosa hii... Mkaribishe Ndugu, Jamaa Pamoja na Rafiki yako!
Mungu Akubariki...

04/06/2016

Yesu ni Bwana, mimi naitwa Mchungaji komba wa kanisa la mlima wa moto linalotazamana na Posta ya sabasaba, nimetumwa kuendesha Ibada ya kuvunja laana ya vifo vya mapema ktk Ibada ya kesho jumapili, nakushauri wewe na familia yako msikose, kuanzia saa 3:00 As _ Saa 7:00 mchana, tuma ujumbe kwa wengine.

Nyoote Mnakaribishwa jumapili ya kesho! Mungu yuko tayari kukuhufumia kadri ya uhitaji wako!Usikose
04/06/2016

Nyoote Mnakaribishwa jumapili ya kesho! Mungu yuko tayari kukuhufumia kadri ya uhitaji wako!
Usikose

Address

Dodoma

Telephone

+255629249163

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlima wa Moto Assemblies of God - Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share