09/02/2018
MISINGI 16 YA IMAN~ TAG
1]Tunaamin Bible ni neno la Mungu lililovuviwa~2Tim 3:16
2]Tunaamin juu ya Mungu mmoja aliyehai
Isaya 43:10
3]Tunaamin juu ya UUNGU wa Yesu Kristo~Yoh 1:1~3
4]Tunamin juu ya anguko la mwanadam ktk dhambi~mwa 3:6
5]Tunaamin juu ya wokovu wa mwanadam~Mdo 3:19
6]Tunaamin juu ya maagizo ya kanisa, yaan meza ya Bwana na ubatizo wa maji mengi
7]Tunaamin juu ya ubatizo wa Roho Mt~ Lk 24:49, Mdo 1:8
8]Tunaamin juu ya ishara ya nje ya kubatizwa kwa Roho Mt ambayo ni kunena kwa lugha
9]Tunaamin juu ya utakaso~ 1The 4:3
10]Tunaamin juu ya kazi za kanisa, yaan kuhubiri injil,ibada za pamoja,kujengana n.k
11]Tunaamin juu ya huduma tano za kanisa, yaan mtume, Nabii,Mwalim,Mchungaji na Mwinjilist
12]Tunaamin juu ya uponyaji wa kimungu~ Isaya 53:4~5
13]Tunaamin juu ya unyakuo kwa kanisa~ 1Thes 4:16~17
14]Tunaamin juu ya utawala wa Yesu wa miaka 1000 na watakatifu wake
15]Tunaamin juu ya hukumu ya mwisho
16]Tunaamin juu ya mbingu mpya na nchi mpya~Ufunuo 21:1~5 MWISHO
BARIKIWA SANA, ILA WOKOVU NDO K