Rev. Valentino & Jesca Chiswagala ministry

Rev. Valentino & Jesca Chiswagala ministry Ukurasa huu unahusu neno la Mungu na huduma mbalimbali za Kanisa la Kristo

✨ Happy Birthday, my beloved wife ✨You are not just my wife you are God’s gift, the mother of our children, and a pastor...
03/01/2026

✨ Happy Birthday, my beloved wife ✨
You are not just my wife you are God’s gift, the mother of our children, and a pastor’s wife with a servant’s heart. You build our home with love, raise our family through prayer, and serve others with humility and wisdom. Today I honor you as the pillar of our family, a voice of comfort, and a woman of purpose. May God grant you health, peace, and many years of grace for our family, the ministry, and generations to come.
Enjoy your special day.

utajibu atajifanya hujaona?
29/12/2025

utajibu atajifanya hujaona?

How our life journey began
26/12/2025

How our life journey began

Mtafuteni Bwana
18/12/2025

Mtafuteni Bwana

Amen
18/12/2025

Amen

18/12/2025

Shalom

19/10/2025

**a_Unahisi_Uwepo wake Usiache kumshangilia

15/09/2025

Mungu ndiye mwanga wetu hata wakati wa Giza hutumulkia

Follow Mchungaji Valentino
08/08/2025

Follow Mchungaji Valentino

DAUDI WETU WA SASA YESU KRISTONi kweli, vita yetu si ya kawaida; mara nyingi tunakutana na majitu k**a Goliathi yanayoti...
07/08/2025

DAUDI WETU WA SASA YESU KRISTO
Ni kweli, vita yetu si ya kawaida; mara nyingi tunakutana na majitu k**a Goliathi yanayotishia uhai wetu, amani, na hadhi yetu. Huenda Goliathi wako ni umaskini usioisha, ugonjwa usiotibika, kukosa ajira kwa miaka kadhaa, au hata kukosa utulivu wa familia na matatizo ya kudumu. Hali hizi zinatufanya tujisikie wadogo, wanyonge, na wasio na tumaini k**a Waisraeli walivyojisikia mbele ya Goliathi.
Lakini nataka kusema hivi, hatupo peke yetu katika vita hii. Mungu, ambaye alimtuma Daudi kukomboa Israeli, leo amemtuma Yesu Kristo - Mwana wa Daudi. Yesu ndiye jiwe letu la pekee dhidi ya huyo Goliathi mkubwa, ambaye si mwingine bali Shetani na vitisho vyake. Jiwe hili si la kawaida, bali ni neno la Mungu, imani, na neema yake isiyo na mipaka.
Usikubali tena kutishwa na kelele na majigambo ya Goliathi wako. Simama na uichukue silaha yako ya kiroho uliyopewa na Yesu, na utatupa kwa jiwe moja tu la imani na unyenyekevu linaweza kumwangusha na kumkomesha Goliathi wako milele.
Umeshaanza kumshinda Goliathi wa maisha yako kwa kuwa na mtazamo huu wa imani. Ni ipi hatua yako inayofuata unayotaka kuichukua katika vita hii?
Cha kufanya Mkaribishe Yesu moyoni mwako awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako nawe utashinda Amen

Follow Mchungaji Valentino

Kwa Mafundisho, ushauri na maombezi

Follow Mchungaji Valentino K**a mwenza wako anavyokuuliza na unajibu na k**a Petro alivyoulizwa na Yesu mara tatu ,Petro...
06/08/2025

Follow Mchungaji Valentino
K**a mwenza wako anavyokuuliza na unajibu na k**a Petro alivyoulizwa na Yesu mara tatu ,Petro akahuzunika kwasababu ameulizwa mara3 Leo ni zamu Yako
Je Unapenda Mungu?

👉MMchungaji Valentino
04/08/2025

👉MMchungaji Valentino

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rev. Valentino & Jesca Chiswagala ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Rev. Valentino & Jesca Chiswagala ministry:

Share

Category