Kijito TV SHOW

Kijito TV SHOW we provide religious service on media and social media, churches, seminars and crusades. Through doctrines, and prayers(deliverance)

28/02/2019

Kuwa k**a mtoto MDOGO ,
1yohana 2:28 sasa watoto wadogo kaeni ndani yake ili kusudi mtakapofunuliwa mwe na ujasiri wala msiabike mbele zake, katika kuja kwake.
Hii nataka uielewe kuwa mtoto mdogo hana hasira, hajui kulipa kisasi, akihadhiwa anasikia maumivu lakini baada ya muda kidogo anasahau maumivu na upendo wake haubadilishwi na adhabu ya baba yake au mama yake mara utamuona akionewa anakimbilia kwa baba yake na kumush*takia anayemuonea hata k**a aliadhibiwa dakika chache zilizopita

28/02/2019

Mungu anawainua watu wanaomtafuta kwa bidii,lakini sawa sawa na bidii yao watavuna matunda, ukiweka bidii sana kwenye huduma Mungu atakuinua kwenye had duma, ukiweka bidii kwenye biashara kwa kumtegemea Mungu ndivyo utakavyoinuliwa, je we we bidii yako in juu ya nini? Maana Musa alikuwa na fimbo sasa we we unanini?

16/02/2019

Unataka kufika wapi?

USIACHE KUTATAZAMA HIKI KIPINDI K**A UNAMPENDA YESU
03/02/2019

USIACHE KUTATAZAMA HIKI KIPINDI K**A UNAMPENDA YESU

Neno la Mungu na Maombezi

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijito TV SHOW posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share