07/09/2021
DODOMA CITY CHURCH BIBLE TRAINING CENTRE.
KITUO CHA KUTOA KOZI YA MAFUNZO YA BIBLIA KWA MDA MFUPI KWA VIONGOZI KANISANI
TUNAKARIBISHA VIONGOZI WOTE WA IDARA, MASHEMASI, WAINJILISTI WAZEE WA KANISA NK. KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UONGOZI.
GHARAMA ZA MAFUNZO KWA PROGRAM MZIMA: MIEZI MINNE NA NUSU ( WIKI 20)
1. ADA : Ni Tsh. 12,500 kwa somo moja. Sawa naTsh 50,000 kwa mwezi.
inalipwa nusu mwazoni Mwa mafunzo na nusu baada ya miezi miwiri. Huirusiwi kuanza masomo bila kulipa ada kwanza.
2. ADA YA KUANDAA NA KUCHAPA MITIHANI = Tsh.2,000. Kwa kila mtihani. Ni sawa na Tsh 8,000. Kwa mwezi na sawa na sawa na Tsh. 40,000. Kwa programu zima. (unalipia mwanzoni mwa mafunzo)
3. VITINI : KILA SOMO Tsh. 10,000 .(unalipia unapoanza somo husika.)
4. FORM YA KUJIUNGA Tsh.10,000. (Unalipia unapojisajili)
5. CHETI CHA KUHITIMU NA TRANSCRIPT: Tsh.15000. (Unalipia mwanzoni )
6. TSHIRT MOJA ORIGINAL COTTON YA KOLA - UNIFORM : Tsh. 25,000/
MAWASILIANO :
ANUANI:
DODOMA CITY CHURCH BIBLE TRAINING CENTRE.
SLP 2680,
DODOMA.
TANZANIA.
Email:
[email protected]
Phone. +255 621 165 085
+255 755 336 906
Instagram:
dcc¬_bibletrainingcentre
Facebook:
Dodomacitychurch Bibletrainingcentre
Telegram:
Dodomacitychurch Bibletrainingcentre
WhatsApp Account:
+255 755 336 906 DCCBTC
MAFUNZO KWA NJIA YA MTANDAO.
kwa wale walio mbali tunatoa fursa ya kujifunza kwa njia ya mtandao . Darasa litaundwa la mtandaoni WANAFUNZI watataunganiswa pamoja kwa darasa la mtandaoni, watakuwa na uwezo wa kufanya discussion mtandaoni na kufanya group assignments zao.
Gharama za darasa la mtandaoni ziko sawa na za darasa la kawaida. Isipokuw ongezeko la gharama za uendeshaji yani gharama ya bando ya internet.
Kwa maelezo zaidi piga namba.
+255 621 165 085.
+255 755 336 906.
MFUMO WA MASOMO.
Mafunzo haya yamebeba mzigo wa kozi 16/ 18.
Kila somo litafundishwa 3 hours kwa siku moja, sawa na 15 hours kwa siku tano za wiki.
Kila kozi ni wiki mojatu. Isipokuwa kwa baadhi ya masomo.
Mtihani ni kila baada ya kumaliza kozi husika.
Mfumo wa mitihani
1. kazi ya vikundi = 10% (Group assignment - class presentation *)
2. Kazi ya mtu Binafsi = 10% (Individual assignment )
3. Project / term paper 30%
4. Mtihani wa mwisho 50 % (Final exam )
Jumla = 100% (Total)
INDEPENDENT COURSE..
K**a ungependa kusoma kozi ambayo iko nje na zile kozi 16/18 tutakazo pitisha kusoma k**a darasa. utatakiwa kulipia gharama za ziada. Kusoma somo pekeyako ni gharama kubwa zaidi kwa sababu utatengewa mda wa kwako binafsi , na utatungiwa mitihani yakwako binafsi na tutaingia gharama za uendeshaji za kwako binafsi.
NOTE:
Lugha Ya Mawasiliano Ni Kingereza.