PAG NJIRO Arusha

PAG NJIRO Arusha PAG NJIRO ARUSHA JESUS LOVES US FIRST SO WE SHOULD LOVE HIM NOW!

PAG UNGA LTD ARUSHA.KARIBUNI SANA.Tunamtumikia MUNGU katika nyanja zote KIROHO, KIJAMII, KIAKILI, KIUCHUMI, KIMWILI NA S...
03/03/2022

PAG UNGA LTD ARUSHA.

KARIBUNI SANA.

Tunamtumikia MUNGU katika nyanja zote KIROHO, KIJAMII, KIAKILI, KIUCHUMI, KIMWILI NA SIFA ZOTE TUNAMRUDISHIA YESU.

22/11/2020

Leo Tar. 22.11.20 SIKILIZA NA ANGALIA USHUHUDA HUU WA REV. MAGEMBE ILI IMANI YAKO IJENGEKE KTK KRISTO.

24/10/2020

Asanteni kwa ku_ Like, coments na kuffolow group letu la kanisa la PAG.

Tunawapenda na pia tunawaombea Mungu awape Neema ya kushinda na kukanyaga kila aina ya madhabahu na nguvu za kipepo zilizopandikizwa katika maisha yenu kwa kujua au kwakutokujua.

Wewe ni hekalu la Mungu Roho wa Mungu anakaa ndani yako madhabahu za giza zisambaratishwe na ukawe huru kwa jina kuu la Yesu kristo.

28/06/2020

UKIMUOTA MTU UNAYEMFAHAM AKIKUFANYIA JAMBO BAYA USIMCHUKIE MARA PENGINE IBILISI HUVAA SURA YA MTU

KUTANA NA NGUVU ZA MUNGU LEO UKAPOKEE MUUJIZA WAAKO..JUMAPILI NJEMA

KICHWA SI NYWELE NI AKILI!Vijana tubadilike fursa zipo tuache kuchagua kazi eti kisa unashule kichwani!Tumia vyeti vinap...
17/06/2020

KICHWA SI NYWELE NI AKILI!

Vijana tubadilike fursa zipo tuache kuchagua kazi eti kisa unashule kichwani!

Tumia vyeti vinapo hitajika pia viweke pemben unapohitaji kutumia nguvu.

Jaman mungu ni wawote hana upendeleo utatoka tu!!! Tusijitenge eti kwasababu tumeingia darasan uonekane wakipekeee ila tujichanganye Na watu tuliowaacha mtaani tutaongeza maarifa Na watatuonesha fursa tusizozijua.

Shule ni nzuri sana ila pia ni mbaya hasa ya Tanzania maana haitufundishi kujitegemea bali inatufanya tuwe tegemezi cku zote

Chamsingi vijana tuamini maarifa tuliyonayo kuwa ndo muhimu kuliko vyeti tulivyo navyo

"Tafuta maarifa ustafute shule tafuta pesa ustafute vyeti"

Kuna watu wameajiriwa lakn hadi Leo wanaishi nyumba za kupanga

Mwisho wa yote niambie uliwahi kuona wapi tajiri aliyeajiriwa? Wote wanamaisha ya kawaida tu.

Angalia list ya matajiri Tanzania Na duniani kote hamna aliye ajiriwa hata mmoja.

Yatie akilini hayo jali mafanikio katika maisha yako..Huku ukimtanguliza Mungu.

Tafakari ya Mchana.

UJUMBE WA JUMAPILI: kutoka kitabu cha 1 Yakobo 2; 15 -17Msiupende Ulimwengu15  Msiupende ulimwengu wala mambo  yaliyoko ...
31/05/2020

UJUMBE WA JUMAPILI: kutoka kitabu cha 1 Yakobo 2; 15 -17
Msiupende Ulimwengu

15 Msiupende ulimwengu wala mambo yaliyoko ulimwenguni. K**a mtu ye yote akiupenda ulimwengu, kumpenda Baba hakumo ndani yake. 16 Kwa maana kila kitu kilichomo ulimwenguni, yaani, tamaa ya mwili, tamaa ya macho na kiburi cha uzima, havitokani na Baba bali hutokana na ulimwengu. 17 Nao ulimwengu unapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu milele;

Starehe za Walimwengu

Kwa walimwengu mtazamo ni kuwa yafurahie maisha katika hali yeyote ile hata k**a maisha yanakufanya ulie kwa ugumu wake lakini wewe uonyeshe ulimwengu kuwa unasababu elfu moja za kifurahia kwa staili yeyote k**a picha hii hapa juu inavyoonyesha; starehe kwanza halafu mengine baadae; Mungu tutamkimbilia “ BAADAE” baada ya starehe, bado tuna muda wa kutosha;
Jumapili hii tutafakari leo hii, asubuhi hii, sasa hivi tukiulizwa na Muumba wetu je unapendelea kupita daraja gani kumfikia yeye?

1. Daraja la uzima ambalo linakwenda moja kwa moja kwake na kwa Muda mfupi k**a Waraka wa Yakobo unavyotufundisha;

2. Daraja la anasa na malimwengu linavyojieleza ambalo huna uhakika wa kumfikia yeye kwa wakati muuafaka kabla milango ya mbinguni haijefungwa;

La msingi huu ni wakati mzuri wa kufanya tafakari kuhusu hatima ya maisha yetu - Amen-

Mkimbilie Bwn aondoe Huzuni yako kabisa...
26/05/2020

Mkimbilie Bwn aondoe Huzuni yako kabisa...

WAGALATIA 3:3 Je, mu wajinga kiasi hicho? Ninyi mlianza yote kwa msaada wa Roho je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu...
26/05/2020

WAGALATIA 3:3 Je, mu wajinga kiasi hicho? Ninyi mlianza yote kwa msaada wa Roho je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu wenyewe?

PAG T tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa kuanza vita dhidi ya janga la korona kwa kumtanguliza Mungu mbele yeye k**a Raisi na taifa kwa ujumla tulifanya Maombi ya kufunga na kuomba siku 3 Mungu akatusikia na kutujibu kwa kishindo

Kwa mantiki hiyo Tulianza katika ulimwengu wa roho maana Rais wetu alitambua vita vyetu si juu ya damu na nyama bali ktk roho na kwa akili za kibinadamu ni ngumu kupambana kwan nchi zenye kila aina ya technolojia, wataalamu na mashine za kisasa wameshindwa na wengine leo hii wameamua kusurender na kumrudia Mungu wa kweli waliyemkataa mwanzo.

Sisi PAG Tanzania tuNawasihi Watanzania wote na viongozi wa serikali wote Tulianza na Mungu tumalize na Mungu katika safari hii ya mapambano dhidi ya janga la korona.

Tusije kulogwa mwishoni tuk**alizia katika mwili na akili zetu ambapo Mungu hatapendezwa nako.

Tumeanza katika Roho tumalize katika roho Tumshukuru Mungu kwa ushindi aliotupa.

Pia tuendelee KUCHUKUA TAHADHARI ZOTE k**a tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa Afya..

Shallom, Habari za J2, Bwn Yesu asifiwe watu wa Mungu, usisali kwa mazoea,Karibuni katika Ibada yetu siku ya leo ukutane...
23/10/2016

Shallom, Habari za J2, Bwn Yesu asifiwe watu wa Mungu, usisali kwa mazoea,Karibuni katika Ibada yetu siku ya leo ukutane na nguvu za Roho mtakatifu leta shida, mapito na magonjwa yako kwa Yesu yeye ndiye Jehova rafa mponyaji. Karibu umpate Yesu maishani. Mahali karibu na kituo polisi Lemara, PAG njiro Usipange kukosa.

LUKA 9:23 Mtu Yeyote akitaka kunifuate ajikane ajitwike msalaba wake anifuate!....KUJIKANA KUTANGULIZA WENGINE, KUTOKUA ...
12/05/2016

LUKA 9:23 Mtu Yeyote akitaka kunifuate ajikane ajitwike msalaba wake anifuate!....

KUJIKANA KUTANGULIZA WENGINE, KUTOKUA MBINAFSI KUJITOA KWA AJILI YA WENGINE, MWILI NAFSI NA ROHO KISHA UMFUATE YESU.

17/06/2015

Tar. 14-6-2015

Mzee wa kanisa LA PAG njiro ndg. Mziray Akihubiri na kufundisha somo LA Imani.

Bila Imani ni vigumu kumpendeza Mungu Hebrews 11:1 -

20/05/2014

KANISA LA P.A.G TANZANIA LINA MALENGO MBALIMBALI YA KUUFIKIA ULIMWENGU WOTE...WAKATI HUU MAVUNO NI MENGI ILA WATENDAJI NI WACHACHE TUUNGANE...MUNGU ATUPE MACHO YA KIROHO TUONE MBALI NA KUFIKA HUKO KTK JINA LA YESU....

Address

Area D
Dodoma

Telephone

+255753306107

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PAG NJIRO Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share