KKKT El Shaddai Mnadani

KKKT El Shaddai Mnadani Ukarasa Rasmi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, Jimbo la Makao Makuu, Usharika wa El Shaddai Mnadani πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Huu ni Ukarasa rasmi wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma (DAD), Jimbo la Makao Makuu, Usharika wa Mnadani uliopo Maili Mbili, Dodoma, Tanzania. Usharika huu unaongozwa na Mchungaji Kiongozi Ndumanisa Munisi Pallangyo pamoja na Mchungaji Msaidizi Furaha Kayombo. LENGO
Lengo la kurasa huu ni kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kupitia Masomo, Mafundisho na Nyimbo kwa

njia ya Mtandao. RATIBA ZA IBADA ZETU

JUMAPILI
Ibada Ya Kwanza: Saa 12 kamili Hadi Saa 1 Na Nusu Asubuhi
Ibada Ya Pili: Saa 1 Na Nusu Mpaka Saa 3 Na Nusu Asubuhi
Ibada Ya Tatu: Saa 4 kamili Asubuhi Mpaka Saa 6 Mchana. JUMATATU MPAKA IJUMAA
Morning Glory Saa 12 Mpaka Saa 1 Asubuhi

JUMAPILI, JUMATANO NA IJUMAA
Fellowship Kuanzia Saa 10 Kamili Jioni. SADAKA
Unaweza kutoa Sadaka yako kupitia;
M-PESA 5625675
TIGOPESA 5614666
NMB BANK 50502300030 KKKT MNADANI. MAWASILIANO
Tel: 0752 102 324
Email: [email protected]

SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATUBwana Yesu Asifiwe,Matukio Mbalimbali Ibadani Leo, Siku ya Bwana ya Tisa baada ya Ut...
02/08/2026

SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATU

Bwana Yesu Asifiwe,

Matukio Mbalimbali Ibadani Leo, Siku ya Bwana ya Tisa baada ya Utatu.

Ibada leo zimeongozwa na Mchungaji Kiongozi Ndumanisa Pallanyo, Mchungaji Miriam Msele pamoja na Mchungaji Mstaafu Menard Simon Kipyali na Mtaalam wa Lugha ya Alama ni Bwana Lazaro Kamba.

Pia Katika Ibada ya Leo, Tulishiriki Sakramenti ya Meza ya Bwana.

πŸ“– Somo la Kwanza: Zaburi 70:4-5

πŸ“– Somo la Pili: Ufunuo 2:8-11

πŸ“– Somo la Mahubiri: Luka Mtakatifu 5:36-39

πŸ“–πŸ“Œ Mwenendo Wenu Uwe na Hekima.







SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATUMatukio Mbalimbali Ibadani leo, Siku ya Bwana ya Tisa baada ya Utatu.πŸ“–πŸ“Œ Mwenendo Wen...
02/08/2026

SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATU

Matukio Mbalimbali Ibadani leo, Siku ya Bwana ya Tisa baada ya Utatu.

πŸ“–πŸ“Œ Mwenendo Wenu uwe na Hekima







πŸ“Mavuno ni Ushuhuda wa Uaminifu wa Mungu na mwitikio wa Moyo wa mwamini. Leo tumebarikiwa na ujumbe wenye kujenga kutoka...
02/08/2026

πŸ“Mavuno ni Ushuhuda wa Uaminifu wa Mungu na mwitikio wa Moyo wa mwamini.

Leo tumebarikiwa na ujumbe wenye kujenga kutoka kwa Mchungaji Mstaafu Menard Simon Kipyali, akitukumbusha kuwa kila tulichonacho ni zawadi ya Mungu, na tunaitwa kumrudishia kwa Shukrani na Uaminifu.

"Mheshimu Bwana kwa Mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote." β€” Mithali 3:9

Mungu atujalie Mioyo ya Shukrani, Utii na Ukarimu katika kila msimu wa Mavuno.







SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATUPraise and Worship Team Ibadani leo, Siku ya Bwana ya Tisa baada ya Utatu.πŸ“–πŸ“Œ Mwenend...
02/08/2026

SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATU

Praise and Worship Team Ibadani leo, Siku ya Bwana ya Tisa baada ya Utatu.

πŸ“–πŸ“Œ Mwenendo Wenu uwe na Hekima









SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATUWanafunzi wa Shule ya Jumapili (Sunday School) Ibadani leo, Siku ya Bwana ya Tisa ba...
02/08/2026

SIKU YA BWANA YA TISA BAADA YA UTATU

Wanafunzi wa Shule ya Jumapili (Sunday School) Ibadani leo, Siku ya Bwana ya Tisa baada ya Utatu.

πŸ“–πŸ“Œ Mwenendo Wenu uwe na Hekima







πŸ“– Kila Mtoto ni Zawadi ya Mungu. Tunawaombea wakue wakimjua Kristo na kutembea katika njia zake siku zote πŸ™             ...
01/08/2026

πŸ“– Kila Mtoto ni Zawadi ya Mungu. Tunawaombea wakue wakimjua Kristo na kutembea katika njia zake siku zote πŸ™









01/08/2026

Leo Mstari wa Moyo kwa Kingereza πŸ˜‚πŸ˜πŸ™Œ








01/08/2026

Mtetezi Wangu 😍πŸ”₯







Je, Unahitaji Nakala ya kitabu UZIMA TELE (Yesu Kristo Anakupenda)?πŸ“ Kitabu Kinapatikana Kanisani KKKT Usharika wa El Sh...
31/07/2026

Je, Unahitaji Nakala ya kitabu UZIMA TELE (Yesu Kristo Anakupenda)?

πŸ“ Kitabu Kinapatikana Kanisani KKKT Usharika wa El Shaddai Mnadani Ulipo Maili Mbili Karibu na Chuo cha Mipango au kwa Kupiga Simu namba +255 755 370 054 Tuma SMS Kawaida au Whatsapp na Sehemu ulipo Uletewe.

Karibu ujipatie Nakala yako na Upokee Mafundisho yatakayokuimarisha katika imani na kukuleta Karibu zaidi na Kristo πŸ“š

"Heri wenye kulisikia Neno la Mungu na kulishika." β€” Luka 11:28










Address

3623
Dodoma
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT El Shaddai Mnadani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KKKT El Shaddai Mnadani:

Shortcuts

Share