The Bible Society of Tanzania

The Bible Society of Tanzania Box 175 Dodoma
+255262324661
+255262324465

19/10/2012

Pray for peace all over the world....pray fo Religious tolerance in Tanzania........pray for those who torched and broke into churches recently in Tanzania

02/10/2012

We hold nothing in life out of God's Plan

24/07/2012

Mwinue BWANA mtukuze yeye tu
Maana ni Mungu ni Kwako nawe ni mja kwake, maisha yapo mikononi mwake naye ndiye aujua mwisho wako, jitunze kuishi kwako ili ukampendeze yeye.

06/07/2012

Mungu awatunze kwa mkono wake akufunikeni wala ubaya usiwe juu yenu usiku huu mkawe salama.

04/07/2012

Mungu katika Yesu Kristo ndiye tumaini letu, wakati wa raha, na wakati wa dhiki, wakati wa huzuni na wakati wa furaha.

03/07/2012

Mungu ndiye ngome na mwamba imara, wote walioweka tumaini katika yeye hawatotikisika kamwe hata ije tofani kuu.

02/07/2012

Mungu akutunze wewe, Mungu akufanye kuwa sehemu ya Utukufu wake.

26/06/2012

Ishi kwa hofu ya Mungu utayashinda maovu, kwa maana dunia ikikulea nawe utakuwa mwana wa ule upotevu.

22/06/2012

Zinaa itamkweje kwako Mtu uliyeokoka? Kwani haikusemwa kwako kuwa ni dhambi hiyo. Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.

22/06/2012

Tengeneza maisha yako sasa, kesho yako huijui, usiseme nitafanya kesho uliyo nayo mkononi mwako ni leo.

21/05/2012

Then! what can we say; If God is for Us, and we are for God, then what if we are not clean?

19/05/2012

Nothing new under the sun, nothing good from a human's mind, But in GOD we have all Good en better for Life.

Address

Makumbusho/9th Street
Dodoma
BOX175

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Bible Society of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Bible Society of Tanzania:

Share