Nimrod Swai

Nimrod Swai JESUS REMAINS THE ONE ANSWER FOR THE WORLD.

SASA NI SAA YA MKOA WA RUVUMAWATUMISHI WA MUNGU KARIBUNI SANA.
23/06/2024

SASA NI SAA YA MKOA WA RUVUMA
WATUMISHI WA MUNGU KARIBUNI SANA.

29/03/2024

Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako k**a nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.

Walawi 19:18

08/02/2024

SI VIZURI KUCHANGANYA MAMBO

Yeremia 7:9-10
9 Je! Mtaiba, na kuua, na kuzini, na kuapa kwa uongo, na kumfukizia Baali uvumba, na kuifuata miungu mingine ambayo hamkuijua;
10 kisha mtakuja na kusimama mbele zangu katika nyumba hii, iitwayo kwa jina langu, na kusema, Tumepona; ili mpate kufanya machukizo hayo yote?

28/01/2024

Yeremia 2:13
Kwa maana watu wangu hawa wametenda maovu mawili; wameniacha mimi, niliye chemchemi ya maji ya uzima, wamejichimbia mabirika, mabirika yavujayo, yasiyoweza kuweka maji.

28/01/2024

Yeremia 2:11
11 Je! Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? Lakini watu wangu wameubadili utukufu wao kwa ajili ya kitu kisichofaidia.

27/01/2024

Daniel 12:2
Tena, wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele.

13/01/2024

1 Sam 16:7
Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; ... BWANA haangalii k**a binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.

29/12/2023

Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia mjinga hekima.
Zaburi 19:7

26/12/2023

Neno la Bwana likaenea katika nchi ile yote.
[Matendo 13:49]

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nimrod Swai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Nimrod Swai:

Share