Thisdaso Dodoma ZONE

Thisdaso Dodoma ZONE Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Thisdaso Dodoma ZONE, Religious organisation, Dodoma.

11/01/2013

LOCAL RETREAT SASA NI NDANI YA CAPITAL ZONE(DODOMA ZONE) USIPANGE KUKOSA KWA KUWA HAKUNA ATAKAYEKUPA COY, SOTE TUTAKUWA KWA MKUTANO.

09/03/2012

kwa wana THISDASO DODOMA,17/03 kutakuwa na sabato ya kanda ktk chuo cha St.John.
siku hiyo tutaanza uchaguzi wa viongozi kanda,pia itakuwa siku ya mwisho kutoa kiingilio cha retreat Tsh.56500 tu.

23/02/2012

tuwakumbuke sana THISDASO UDOM wanaendelea na efoti, moja inafanyika makuli na nyingine ng'ong'ona

31/01/2012

nawakumbusha wahitimu wote wa mwaka huu kuleta mahitaji yenu mapema ili muwe na sifa ya kupata cheti.
Mahitaji hayo ni ada 5000 kwa mwaka,picha ikiwa ktk softcopy na pesa ya cheti 4000.
Mwisho wa kupokea ni tar25/2.

12/01/2012

Wanachama wote mnakumbushwa kuzidi kuombea uchaguzi wa viongozi wa kanda unaotarajiwa kuanza tarehe 10/03/2012.

12/01/2012

FOR THISDASO DODOMA ZONE AS WELL AS TANZANIA UNION,YOU MAY LIKE THIS PAGE AND GET UPDATE OF WHAT IS GOING ON AT THISDASO DOM ZONE.

Religious organization

12/01/2012

ºYOU MAY ADDRESS THIS PAGE TO OTHER MEMBERS.º11º

05/01/2012
22/11/2011

Efoti inayofanyika majengo mapya kikuyu mpaka sasa Mungu amejitwalia roho zaidi ya 40. Na lengo letu ni kubatiza roho 100 mpaka ifikapo dec 31.tuzidi kuomba.

26/10/2011

efoti imeanza,kufunga na kuomba ni njia pekee ya kuongoa roho. tuombe bila kukoma, na karibuni sana ktk eneo la mkutano.

06/10/2011

Greetings..

Welcome back to Dodoma. I hope you enjoyed your holiday. May God grant you traveling mercies. Amen.
God bless

from
Pr S Mange

23/09/2011

wajoli tuzidi kuomba kwa ajili ya efoti ambayo inaendelea dodoma.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thisdaso Dodoma ZONE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share