TAFES UDOM

TAFES UDOM TAFES NI FELLOWSHIP YA KIKRISTO ISIYOFUNGAMANA NA DHEHEBU LOLOTE, TUNAPATIKANA COLLEGE ZOTE HAPA UDOM, KARIBU UABUDU NASI

Karibu UDOM, Karibu TAFES, Karibu tumwabudu MUNGU Kwa Pamoja ili kuujenga ufalme wa Kristo.

06/06/2024
04/02/2022
06/01/2022

Pendeza Channel itakuletea mafundisho mbalimbali kutoka kwa mchungaji na mmishenariDebora Kim. Usisahau kusubscribe katika channel hii ili uendelee kupata ta...

Shalom. Naitwa Pastor Azariah Leonard, nichukue wasaa huu kukukaribisha tuabudu pamoja siku ya kesho jumapili. Kwa wanaf...
11/12/2021

Shalom. Naitwa Pastor Azariah Leonard, nichukue wasaa huu kukukaribisha tuabudu pamoja siku ya kesho jumapili.
Kwa wanafunzi wa Udom usafiri upo kwa college zote.
Muda na ratiba za ibada k**a zilivyoonyeshwa katika card za kanisa.
Pia kanisa kwa ushirikiano na chuo cha Reformation Bible College tunatoa mafunzo ya thiolojia na huduma kwa ngazi ya diploma na degree. Nicheki nikupe maelekezo zaidi. Jehovah akubariki sana.

11/12/2021

Shalom guys. Is everybody OK??

Send a message to learn more

Tarehe 11/12/2021 masomo yataanza rasmiVenue: CSFC(kwa mkorea)
08/12/2021

Tarehe 11/12/2021 masomo yataanza rasmi
Venue: CSFC(kwa mkorea)

29/01/2021
Ni December hii. Anza kujiandaa
06/11/2020

Ni December hii. Anza kujiandaa

Address

UDOM
Dodoma
0105

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAFES UDOM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TAFES UDOM:

Share