Destiny city church

Destiny city church Building Godly destinies and raising giants

04/09/2026

Gen Z gather here now…..
Yes Sir! 🫡

Zaburi 23:6Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele. _______...
03/09/2026

Zaburi 23:6
Hakika wema na fadhili zitanifuata
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
_______________________
Psalms 23:6
Surely goodness and mercy shall follow me all the days of my life:
and I will dwell in the house of the LORD for ever.

NO CAPTION! Tukutane Nyumbani mwa Baba yetu  hapo badae.
02/09/2026

NO CAPTION!

Tukutane Nyumbani mwa Baba yetu hapo badae.

✍️
01/09/2026

✍️

01/09/2026

We are still not over what God did this Sunday!
Are you?

What a powerful time in His presence! We’re still carrying the joy, the worship, the testimonies, and everything God did among us.

God did it, and we will never stop giving Him the glory!
———
Bado hatujapona na yale ambayo Mungu alifanya Jumapili hii!
Na wewe je?

Ni kweli tulikuwa na wakati wa kipekee sana katika uwepo wa Mungu! Bado tunabeba furaha, ibada, ushuhuda, na kila jambo ambalo Mungu alifanya katikati yetu.

Mungu ametenda, na hatutaacha kamwe kumpa utukufu!

01/09/2026

Day 01 of DOMINION PRAYERS was nothing short of Blessings and Revelation. We were surely blessed.

Today is Day 02 and something greater is about to happen for God's glory and

one day to testify about what God did through these prayers

Usipange kukosa
__________________
Siku ya 01 ya DOMINION PRAYERS ilikuwa siku iliyojaa Baraka na Ufunuo. Hakika tulibarikiwa sana!

Leo ni Siku ya 02, na tunaamini kwamba jambo kubwa zaidi linakwenda kutokea kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

Siku moja kushuhudia yale ambayo Mungu aliyatenda kupitia maombi haya.

Don't Plan to miss

30/08/2026

Very simple message yes powerful
John 3:16–17 (KJV)

16 For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

17 For God sent not his Son into the world to condemn the world; but that the world through him might be saved.
———
Yohana 3:16–17

16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

17 Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.

30/08/2026

Lord, we thank You for our nations, our tribes, our languages, and our cultures. Thank You for making us different yet bringing us together as one family in Christ.

Help us to glorify You in everything we do, and let our cultures always point people back to You.

Different cultures. Different nations. One God. One family. One worship. 🙏🏽🌍❤️
———
Hivi ndivyo tunavyomsherehekea Yesu—kupitia tamaduni zetu, mila zetu, na uzuri wa utofauti ambao Mungu ametupa. 🌍❤️

Bwana, tunakushukuru kwa mataifa yetu, makabila yetu, lugha zetu na tamaduni zetu. Asante kwa kutufanya kuwa tofauti, lakini ukatuunganisha kuwa familia moja ndani ya Kristo.

Tusaidie kukutukuza katika kila jambo tunalolifanya, na tamaduni zetu daima ziwaelekeze watu kwako.

Tamaduni tofauti. Mataifa tofauti. Mungu mmoja. Familia moja. Ibada moja. 🙏🏽🌍❤️

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Destiny city church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Destiny city church:

Shortcuts

Share