07/05/2024
🏮
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
1 KORINTHO 11 : 21_26 LUKA 22 : 14 _ 20
═════════════════════
📍
🔆➤ *Meza ya Bwana,* Ni Ibada maalumu ya kula mwili na damu ya Yesu ya Agano katika ushirika.
💥 “Meza ya Bwana” ```huitwa pia “chakula cha Bwana,Karamu ya Bwana, ( Ekarist kwa kigiriki)```
*Muhimu* kufahamu kwamba kuna maagizo mawili aliyoagiza Yesu yafanyike ndani ya kanisa ( mosi ni ubatizo na pili ni kushiriki meza ya Bwana Kwa ukumbusho wake).
Katika meza ya Bwana kuna vitu viwili;
🏮 *Mkate* –. kuwakilisha mwili wa Yesu Kristo
🏮 *Divai* / Kinywaji cha mzabibu – kuwakilisha damu ya Yesu Kristo.
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
📌 *Kwa nini Meza ya Bwana*
*01.* UTII
Ni kutii maagizo
( Biblia inasema fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu)
*02.* UKUMBUSHO
Kukumbuka mauti ya Bwana itupayo wokovu kwetu.
*03.* AGANO
Tunaimarisha Agano.
_kwa maana hii ndiyo *damu yangu ya agano* , imwagikayo kwa ajili ya wengi.._ Mathayo 26 : 28
*04.* MAUTI
Tunaitangaza mauti ya Bwana pale msalabani kifo cha Yesu kristo kwa ajiri yetu.
*05* . KUIMARIKA KIROHO .
_imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa *ondoleo la dhambi.*_ Mathayo 26 : 28
*06.* SHUKRANI
Ni alama ya shukrani mbele za Kristo Yesu kwa kujitoa kwake kuleta wokovu .
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
*Taratibu za kushiriki*
*01* . Kujihoji
ni kupata nafasi ya kujiuliza na kufanya toba kwanza kwa mshiriki alie tayari kwa kula na kunywa damu ya Yesu.
*02.* Watu kungojana.
katika hali ya utulivu kila mmoja hushiriki kwa kufuata utaratibu unaotolewa.
*03* . Maombi
maombi hufanyika kwa imani thabiti. Ni fursa na nafasi nzuri ya kuomba.
Ni muhimu kuomba maana uwepo wa kristo hutawala.
_Pastor Mercy_ anasema tunajifunza kuomba kwa kuomba
Yani hakuna mbadara wa mtu kujua kuomba pasipo kuanza kuomba.
╭═══════════════ ⪩ ```Mtu mmoja tumwite Mvivu wa kufikiri, alisema
Haoni haja ya kuwepo Meza ya Bwana ni ukumbusho tu hivo ibaki kuwa kumbukumbu tu ya kuwekwa penye makumbusho..```
╰═══════════════
👆🏼👆🏼👆🏼
*Big No hajui*
Meza ya Bwana ina historia tangu Agano la kale..
🥦Angalia sikukuu zote za wayahudi, zimekua ni mfano harisi wa ukombozi na kumjenga Mkristo.
🎯 Siku kuu ya malimbuko.
```Yesu amefufuka limbuko la walio lala```
Hesab 28 : 26
*_________________________________*
🎯 Siku kuu ya mavuno,
```Roho Mtakatifu ameshuka ndie atupaye nguvu kutenda shambani mwake``` Kutoka 23 : 16 : 17
_________________________________
🎯Siku kuu ya mikate isiyo tiwa chachu
“ _Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa Bwana ya mkate usiotiwa chachu; *mtaila mikate isiyochachwa* muda wa siku saba._ Walawi 23:6(Yohana 6:53) mwili wa Kristo ni Neno lake lisiloweza kugoshiwa na mafundisho ya uongo(Chachu) k**a chachu za mafarisayo n, k, ,
___________________________
🎯 Siku kuu ya upatanisho.
Walawi 23:27 “ _Lakini siku ya kumi ya mwezi huo wa saba ni *siku ya upatanisho* ; itakuwa kusanyiko takatifu kwenu_
________________________
🎯Siku kuu ya vibanda .. _atakwea mwaka baada ya mwaka ili kumwabudu Mfalme, Bwana wa majeshi, na kuishika *Sikukuu ya Vibanda*_ . Zekaria 14 : 16.... c*
*__________________________*
🎯 Siku kuu ya baragum / Tarumbeta.. _siku ya kwanza ya mwezi, kutakuwa na kustarehe kabisa kwenu, ni ukumbusho wa kuzipiga baragumu, ni kusanyiko takatifu_ .
Walawi 23 : 24
Mathayo 24 : 31 ```"parapanda italia kuwaita wateule.."```
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🎯 *Sikukuu ya Pasaka*
Mungu aliwalinda Waisraeli kutokana na lile pigo kubwa la kuuawa kwa kila mzaliwa wa kwanza wa Misri.
Kwa ishara ya Damu katika nyumba za wayahudi muharibu “Alipita juu” " Passover" na hivyo wazaliwa wao wa kwanza wangeokoka.—Kutoka 12:7, 13.
Chakula: Mbali na mwanakondoo (au mbuzi), Waisraeli walikula mkate usiotiwa chachu k**a mlo wa Pasaka. —Kutoka 12:8.
Yesu amefanyika mkombozi wetu pasaka yetu. Biblia inasema mjumbe wa Agano lililo bora zaidi. Ebrania 7 : 22
Wa pasaka ( passover - kingereza) ( pasach - kigiriki&kiebrania)
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🍎🍎🍎🍎🍎🍎
🔔 *Kwa nini Chakula..*
Chakula kina nguvu ya
kujenga umoja/ushirikiano
💥 ✍🏽Chakula kina nguvu ya kujenga Agano, kula chakula sahihi mahara sahihi kwa maelekezo sahihi ya Neno ( kweli) ndie kristo kwake unakua salama
🍎🍎🍎🍎🍎🍎
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️
🔔 *Kwa nini Damu*
Damu ni uhai..
Damu hutumika kufanya maagano.
{ ```Pengine umesikia habari za wachawi na waganga wakitumia Damu za wanyama kufanya ibada zao?
Tuseme Wanakopi tu```} Agano la kale..
_Ebrania 9 : 22 Na katika Torati karibu vitu vyote husafishwa kwa damu, na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo._
💥 ✍🏽Damu ya Kristo ina nguvu juu ya maagano na madhabahu zote itumie kila mara uwe salama..
♦️♦️♦️♦️♦️♦️ ♦️
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
╰═══════════════ ════
_Mwandishi_
_By, Isaya Ndibalema_ _0759405621_
📍
🔆➤ *The Lord's Table,* It is a special ritual of eating the body and blood of Jesus of the Covenant in communion.
💥 "The Lord's Table" ```also called "the Lord's food, the Lord's Supper, (Echarist in Greek)"
*Important* to understand that there are two instructions that Jesus ordered to be done in the church (one is baptism and the other is to share the Lord's table in remembrance of him).
In the Lord's table there are two things;
🏮 *Bread* –. to represent the body of Jesus Christ
🏮 *Wine* / Drink of the vine - representing the blood of Jesus Christ.
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
📌 *Why the Lord's Table*
*01.* OBEDIENCE
It is obeying orders
(The Bible says do this in remembrance of me)
*02.* REMINDER
Remembering the Lord's death that gives us salvation.
*03.* COVENANT
We strengthen the Covenant.
_for this is my *blood of the covenant*, shed for many.._ Matthew 26:28
*04.* DEATH
We announce the death of the Lord on the cross, the death of Jesus Christ for our work.
*05*. SPIRITUAL STRENGTHENING.
_poured out for many for the *remission of sins.*_ Matthew 26:28
*06.* THANK YOU
It is a sign of gratitude before Christ Jesus for giving himself to bring salvation.
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
*Procedures to participate*
*01*. Questioning yourself
is to get a chance to ask questions and do penance first for the participant to be ready to eat and drink the blood of Jesus.
*02.* People gather.
in a calm state everyone participates according to the order given.
*03*. Application
prayer is done with firm faith. It is an opportunity and a good opportunity to pray.
It is important to pray because the presence of Christ rules.
_Pastor Mercy_ says we learn to pray by praying
That is, there is no way for a person to know how to pray without starting to pray.
╭═══════════════ ⪩ ``Let's call one person lazy to think, he said
He does not see the need to have the Lord's Table, it is just a reminder, so it should remain just a memory to be kept in a museum..```
╰═══════════════
👆🏼👆🏼👆🏼
*Big No doesn't know*
The Lord's Table has a history since the Old Testament..
goat), the Israelites ate unleavened bread as a Passover meal. - Exodus 12:8.
Jesus has become our savior in our Easter. The Bible says the messenger of the best covenant. Hebrews 7:22
Passover (passover - English) (pasach - Greek&Hebrew)
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🍎🍎🍎🍎🍎🍎
🔔 *Why Food..*
Food has the power of
building unity/cooperation
💥 ✍🏽 Food has the power to build a Covenant, eat the right food, the right food, with the right instructions of the Word (really) for Christ, you will grow safe
🍎🍎🍎🍎🍎🍎
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️
🔔 *Why Blood*
Blood is life..
Blood is used to make covenants.
{ ```Perhaps you have heard of witches and healers using animal blood to perform their rituals?
Let's just say they copy the Old Testament..
_Hebrews 9:22 And in the Torah, almost all things are cleansed with blood, and without shedding blood there is no forgiveness._
💥 ✍🏽 The blood of Christ has power over all covenants and altars, use it always and be safe..
May God blessed you servant of God
By Ndibalema 0759405621
Isaya Ndibalema