13/05/2026
Wengi wamejikita katika kutafuta mali za dunia hii tu na kusahau kabisa habari za Kumtafuta Muumba wa Dunia na vitu vyote. Leo nakupa habari njema kwamba Utafuteni Ufalme Wa mbinguni kwanza mengine yote utaongezewa.
-Pastor Clinus Ponsian