17/07/2026
Walio na MUNGU ,
1.Hawakubali kushindwa ,
2.Hawaamini kushindwa ,
3.Hawawezi kushindwa,
4.Hawawazi kushindwa,
5.Hawatengemei kushindwa,
Ukiwa hivyo ujue Mungu wa Mbinguni anamakusudi na wewe.
Tukutane Arusha,
By
Bishop makoye.