New vine Church-Dodoma

New vine Church-Dodoma Commision: Raising a godly generation that will cause holistic global impact (Mathew 5:13-14; Joel 2:3-11)
NVC - a home of impact.

14/06/2026

SUNDAY RECAP
NEW VINE CHURCH DODOMA



Jumapili hii hapa New Vine Church-Dodoma.Mahali utafunzwa katika Maandiko Matakatifu na kuona uhalisia wa utendaji wa Mu...
13/06/2026

Jumapili hii hapa New Vine Church-Dodoma.

Mahali utafunzwa katika Maandiko Matakatifu na kuona uhalisia wa utendaji wa Mungu.

Tutafurahi kukupokea

13/06/2026

Nguvu dhidi ya dhambi inabidi nguvu ya kiroho iingilie kutatua tatizo la dhambi. Mambo mabaya yameingia duniania na yanaondolewa na nguvu ya kiroho.
Somo: Kushinda Vita Ya Ulimwengu wa Kiroho
Youtube: Pastor James Kalekwa

USIACHE KUOMBA KWA SABABU HUJAONA JIBU BADO.Maombi yana maana, yana nguvu, na yanafungua njia ambazo macho hayawezi kuon...
13/06/2026

USIACHE KUOMBA KWA SABABU HUJAONA JIBU BADO.

Maombi yana maana, yana nguvu, na yanafungua njia ambazo macho hayawezi kuona.

Endelea kuomba. Mungu anasikia, anatenda, na hujibu kwa wakati wake mkamilifu.

MAOMBI HUBADILISHA MAMBO.

Ulimwengu wa roho unatawala na kuongoza ulimwengu wa mwili; unaamua nini kitokee au kisitokee kwenye ulimwengu wa mwili
12/06/2026

Ulimwengu wa roho unatawala na kuongoza ulimwengu wa mwili; unaamua nini kitokee au kisitokee kwenye ulimwengu wa mwili

TUKUTANE JUMUIYA!MAHALI PA USHIRIKA, MAOMBI, KUJIFUNZA NENO LA MUNGU NA KUKUA KIROHO PAMOJA.KARIBU SANA!
12/06/2026

TUKUTANE JUMUIYA!

MAHALI PA USHIRIKA, MAOMBI, KUJIFUNZA NENO LA MUNGU NA KUKUA KIROHO PAMOJA.
KARIBU SANA!

Ulimwengu wa mwili unatokana na ulimwengu wa roho (Mwanzo 1:1), Mungu ni Roho na ameumba vyote kutokea rohoni
12/06/2026

Ulimwengu wa mwili unatokana na ulimwengu wa roho (Mwanzo 1:1),
Mungu ni Roho na ameumba vyote kutokea rohoni

Ulimwengu wa roho sio hadithi ni halisi; hivyo mambo ya kiroho ni halisi, na vita ya kiroho ni halisiSOMO: KUSHINDA VITA...
11/06/2026

Ulimwengu wa roho sio hadithi ni halisi; hivyo mambo ya kiroho ni halisi, na vita ya kiroho ni halisi

SOMO: KUSHINDA VITA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO -
UTANGULIZI: UHALISIA WA ULIMWENGU
YOUTUBE: PASTOR JAMES KALEKWA

Happy birthday Mama ziada Kyara, New Vine Church Dodoma Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yako. TUNAKUPENDA
11/06/2026

Happy birthday Mama ziada Kyara, New Vine Church Dodoma Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yako. TUNAKUPENDA

08/06/2026

Sunday Reflection

Address

Swaswa
Dodoma
P.OBOX2078SWASWA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New vine Church-Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to New vine Church-Dodoma:

Shortcuts

Share

Category