27/05/2026
DAY 24 – MAOMBI KINYUME NA ROHO YA KURIDHIKA 🔥
Usikubali kubaki mahali pale pale wakati Mungu ameandaa milango mipya mbele yako. Roho ya kuridhika huua kiu ya kutafuta zaidi katika uwepo wa Mungu.
Ungana nasi kuanzia saa 10:39 Jioni
WORLD SHAKERS ASSEMBLY
THE HOME OF GIANTS