Gilgal Dominion centre- Dodoma

Gilgal Dominion centre- Dodoma For everything that God desires to do in the earth, He enters into partnership with those to whom He has already given dominion.

09/05/2026
04/04/2026

Bwana asifiwe watu wa Mungu
Nichukue nafasi hii kuwakaribisha watu wa Mungu siku ya kesho kwenye ibada ya pasaka

Host: Pastor Hezrom George

Mahali: Dodoma mkonze

Kuanzia majira ya saa mbili na nusu asubuhi

Theme: Kumiliki na kutawala uchumi kwa mkristo.
Mwanzo 1:26

06/11/2025

Biblia. Mithali 16:8
[8]Afadhali mali kidogo pamoja na haki,
Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Better is a little with righteousness than great revenues without right.

06/10/2025
Shalom watu wa Mungu. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha  kwenye ibada ya kesho watu wote ambao mpo katika jiji la Dodoma...
27/07/2024

Shalom watu wa Mungu. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha kwenye ibada ya kesho watu wote ambao mpo katika jiji la Dodoma.

Address

Mkonze
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gilgal Dominion centre- Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Gilgal Dominion centre- Dodoma:

Share