LFC Dodoma

LFC Dodoma Winners chapel international Dodoma Sunday Service is 8:30am and Wednesday service is 5pm. Ibada zetu ni Jumapili saa 2:30 asubuhi na Jumatano saa 11 jioni.

31/10/2023
Bwana Yesu asifiwe mpendwa Jumatano ya leo karibu katika Ibada ya ushirika Mtakatifu na Meza ya Bwana tutakuwa tukifunga...
26/09/2023

Bwana Yesu asifiwe mpendwa Jumatano ya leo karibu katika Ibada ya ushirika Mtakatifu na Meza ya Bwana tutakuwa tukifunga na kuomba na kuja kufunga hapa Kanisan na Mungu wa mbinguni atakuwa akiachulia majibu ya maombi yetu katika jina la Yesu karibu sana

Wiki ya Msisitizo wa Kiroho inaanza Jumatano hii Septemba 6 mpaka Ijumaa Septemba 8 sote tukuwa tukimngoja Bwana katika ...
05/09/2023

Wiki ya Msisitizo wa Kiroho inaanza Jumatano hii Septemba 6 mpaka Ijumaa Septemba 8 sote tukuwa tukimngoja Bwana katika kufunga. Na tutakuja kufunga kwa ushirika Mtakatifu hapa Kanisani. Muda ni saa 11 Jioni Kila siku. Usafiri unapatikana Soko la machinga saa 10:30 Jioni na utapita CBE, Mataa ya Area D na Kituo cha Mafuta -Kisaa.

Jumapili ijayokuja ya Septemba 10, 2023 itakuwa siku ya kiagano ya maisha marefu & Ibada ya Meza ya ushirika Mtakatifu k...
05/09/2023

Jumapili ijayokuja ya Septemba 10, 2023 itakuwa siku ya kiagano ya maisha marefu & Ibada ya Meza ya ushirika Mtakatifu kanisa lipo Ilazo kusini kalbu na Toronto karibuni watu wote na njoo wewe na familia yako na Mungu wa mbinguni atawabariki Muda wa Ibada ni saa 2:30_5:00

Pictures highlighted from our last Sunday service was a great service ;covenant day of RESTORATION.
10/08/2023

Pictures highlighted from our last Sunday service was a great service ;covenant day of RESTORATION.



What a flash glimpse of pictures from our covenant day of FINANCIAL FORTUNE.Jesus is Lord!
25/07/2023

What a flash glimpse of pictures from our covenant day of FINANCIAL FORTUNE.

Jesus is Lord!

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LFC Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to LFC Dodoma:

Share