19/05/2026
MKATE WA LEO
20th MAY, 2026
"Lakini mwenendo wenu na uwe k**a inavyoipasa Injili ya Kristo, ili, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, k**a mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili;”
Wafilipi 1:27