06/05/2026
ESTHER GENERATION CONFERENCE JUNE 2026
SHINE EVERYWHERE
Binti uliye Dodoma na mikoa jirani, usikubali kabisa kuikosa siku hii maalum kwa ajili yako 🔥🔥
Njoo na rafiki yako mmoja, njoo na tarajio kubwa la badiliko.
Bwana atakufanya upya na kukuimarisha.
Pokea mwaliko huu rasmi.
Tarehe: 06 June 2026
Mahali: FPCT Dodoma Revial Church - Area A
Karibu sana na Mungu akubariki sana !!