Victory City Church FPCT Dodoma

Victory City Church FPCT Dodoma 1 Kings 5:4

Tumebarikiwa kuabudu na Bishop Johnson Mpili. Karibu uabudu nasi VCC FPCT Dodoma
06/08/2023

Tumebarikiwa kuabudu na Bishop Johnson Mpili. Karibu uabudu nasi VCC FPCT Dodoma

Karibu kwenye Semina  ya Pasaka.
05/04/2023

Karibu kwenye Semina ya Pasaka.

Kanisa la Victory City Church (FPCT) Dodoma limekuandalia  Semina ya neno la Mungu kunzia tar 22~24 December. Mhubiri at...
20/12/2022

Kanisa la Victory City Church (FPCT) Dodoma limekuandalia Semina ya neno la Mungu kunzia tar 22~24 December. Mhubiri atakuwa ni Mch. Richard J. Mmary pamoja na mwenyeji wake Mch. Raymond J. Sabuni. Hakika si ya kukosa.
Walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa.

Mungu kwetu ni kimbilio, msaada uonekanao tele wakati wa mateso.KARIBU KATIKA IBADA TUMWABUDU MUNGU PAMOJA.
22/11/2022

Mungu kwetu ni kimbilio, msaada uonekanao tele wakati wa mateso.

KARIBU KATIKA IBADA TUMWABUDU MUNGU PAMOJA.

21/11/2022

Kusifu kuna wapasa wanyofu wa moyo.
Karibu tumwabudu Mungu kanisa la Victory City Church FPCT Dodoma

21/11/2022

Maombi na Maombezi

21/11/2022

VCC Choir wakimtukuza Mungu. KARIBU UABUDU NASI, Kanisa la VCC Mpamaa, Dodoma

Karibu tumwabudu Mungu kwa pamoja. Kanisa la Victory City Church FPCT Dodoma Tanzania.Yesu mtenda miujiza anawafungua we...
31/10/2022

Karibu tumwabudu Mungu kwa pamoja. Kanisa la Victory City Church FPCT Dodoma Tanzania.
Yesu mtenda miujiza anawafungua wenye shida na magonjwa mbalimbali.

Karibu uabudu nasi siku ya Jumapili ya Tar. 30/10/2022. Hakika utamuona Mungu.
28/10/2022

Karibu uabudu nasi siku ya Jumapili ya Tar. 30/10/2022. Hakika utamuona Mungu.

Neema ya Mungu ikufunike kila wakati.
23/10/2022

Neema ya Mungu ikufunike kila wakati.

Tunakukaribisha uabudu nasi, hakika utabarikiwa.
23/10/2022

Tunakukaribisha uabudu nasi, hakika utabarikiwa.

Address

Mpamaa
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Victory City Church FPCT Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Victory City Church FPCT Dodoma:

Share

Category