The Eye Of God International Ministry -Teogim

The Eye Of God International Ministry -Teogim THE EYE OF GOD INTERNATIONAL MINISTRY (TEOGIM), Ni huduma iliyoanzishwa na mtumishi wa Mungu Mtume n

07/02/2026
17/01/2023

Neno la mwaka. ( TEOGIM)

Mwaka wa Rehoboth. ( Kwakuwa Sasa Bwana amenifanyia nafasi nami ntazid katika nchi)

04/06/2022

Shalom

2022 ni Mwaka wakuusimamisha Ufalme wa Mungu Duniani,  kupitia TEOGIM BY Apostl Denis Tweve
27/01/2022

2022 ni Mwaka wakuusimamisha Ufalme wa Mungu Duniani, kupitia TEOGIM
BY Apostl Denis Tweve

Coming soon
01/12/2021

Coming soon

16/11/2021

Wakati waimbaji wakitufanya tunesenese Kwenye mkesha wa Semina Makete Unenamwa

Karibu (TEOGIM) The Eye of God International ministry.  Kwa maombi na Maombezi , mafundisho, ndoto n.k. .... Tupo instag...
16/11/2021

Karibu (TEOGIM) The Eye of God International ministry. Kwa maombi na Maombezi , mafundisho, ndoto n.k. ....

Tupo instagram, jina la Teogim ministry na whatsapp tuma neno niunge .

0628327080 online 24hr kwayeyote anaye hitaji huduma ni bure kabisa unaweza tuma ujumbe kwa SMS au kupiga.

kumbuka tupo kwajili ya kuzivunja kazi za shetani. pia kwayeyote atakaye hitaji kutusaport unakaribishwa sanaa

By Apostle Denis Tweve

26/08/2021

THE EYE OF GOD INTERNATIONAL MINISTRY (TEOGIM), Ni huduma iliyoanzishwa na mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii DENIS TWEVE mnamo tarehe 1/11/2020. Ikiwa ni baada ya kupewa maono hayo na ROHO MTAKATIFU juu ya ulimwengu ili kutofautisha kati ya ufalme wa MUNGU na ufalme wa GIZA katika Dunia ya leo. Ikiwa tupo katika safari ya kwenda mbinguni katika nyakati hizi za mwisho na za hatari zilizojawa na mateso makubwa ya Shetani ,hivyo lazima kuwepo na utofauti kati ya giza na nuru (zaburi 33:18, mwanzo 6:12)

Send a message to learn more

25/08/2021

Follow us through.
INSTAGRAM. teogim ministry
Email. [email protected]
Facebook. The Eye of God International Ministry (TEOGIM)
YOUTUBE. TEOGIM MINISTRY.
TWITTER.
WHATSAPP. +255628327080, +255788487080,
CONTACT. +255628327080, +255679687080

OR
INSTAGRAM. apostle Denis Tweve
Email. [email protected]
Facebook. Apostl Denis Tweve, Denis Tweve.
YouTube. Apostle Denis Tweve.
Twitter. 1

Subscribe, like, comment, follow and share to my channels

24/08/2021

Music with good taste

Address

Jerusalem
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Eye Of God International Ministry -Teogim posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Eye Of God International Ministry -Teogim:

Share