Mwl; Timothy Sangayoni

Mwl; Timothy Sangayoni Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi

15/05/2024

YESU ANAPONYA 😭 😢 😭 😢 😭 😭

AACHIA GONGO LAKE KWENYE IBADA YA MORNING GLORY
HAPA KKKT NJOMBE MJINI

YESU ANAUNGA MIFUPA
YESU ANAIMARISHA MIFUPA

GLORY TO GOD
TUKUTANE TAREHE 1/6/2024

PALE JOHANIC HOTEL KISASA DODOMA

KWA YESU YOTE YANAWEZEKANA


😇

DODOMA  DODOMA  DODOMA🔥     NI SIKU MOJA TU YA UDHIHIRISHO WA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU   ,KATIKA KUONDOA NIRA NA MIZIGO  ...
08/05/2024

DODOMA DODOMA DODOMA🔥

NI SIKU MOJA TU YA UDHIHIRISHO WA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU ,KATIKA KUONDOA NIRA NA MIZIGO

Isaya 10:27
Tena itakuwa katika siku hiyo mzigo wake utaondoka begani mwako, na nira yake shingoni mwako, nayo nira itaharibiwa, kwa sababu ya kutiwa mafuta.

NJOO HAPA TUOMBE PAMOJA ,NA KUTULIWA MIZIGO NA KUONDOLEWA NIRA .

TUINGIE MWEZI WA 6 TUKIWA WEPESIIIIIIIII NA KWA USHINDI MKUBWA .

NI TAREHE 1/6/2024

JOHANIC HOTEL KISASA
USIPANGE KUKOSA


😇

05/03/2024

PRAYER LIFE WITH GLORIOUS LIFE

MOBILE, 0769894137 ( WHATSAPP & NORMAL )

05/03/2024

YOU TUBE; MWL TIMOTHY SANGAYONI
KARIBU SANAAA
MOBILE. 0769894137 ( WHATSAPP & NORMAL )

09/03/2022
Mithali 23:7[7]Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja n...
28/02/2022

Mithali 23:7
[7]Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo.
Akuambia, Haya, kula, kunywa;
Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
For as he thinketh in his heart, so is he: Eat and drink, saith he to thee; but his heart is not with thee.

23/02/2022

Mwanamke
Ujumbe kwako..✍️✍️

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl; Timothy Sangayoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwl; Timothy Sangayoni:

Share