TAG YOUTH - CA's

TAG YOUTH - CA's Tanzania Assemblies of God
CHRIST'S AMBASSADORS

Askofu Mkuu wa TAG, Rev. Mch. Dkt. Barnabas Weston Mtokambali rasmi ameweka wakfu Chuo cha Kupanda Makanisa Ifakara Kikw...
11/08/2026

Askofu Mkuu wa TAG, Rev. Mch. Dkt. Barnabas Weston Mtokambali rasmi ameweka wakfu Chuo cha Kupanda Makanisa Ifakara Kikwakila leo, ambapo Wachungaji, waumini, wanafunzi pamoja na wageni waalikwa wameshiriki katika kuweka wakfu katika chuo hicho.

Cc.

11/08/2026

Mwinjilisti Evangelist Evod Medson afanyiwa vurugu wakati anahubiri kariakoo....Yesu ameshinda

11/08/2026

Sikia hekima hii kutoka kwa mama

10/08/2026

Weka alama ya motoo tuu🔥
Kwenye sikukuu yetu ya vijana 2026 tumeshapata step sasaa

Mwengine ni katibu wa tawi tu lakini hataki kucheza ibadanii😅

10/08/2026
Hii sio tabia njema😎
08/08/2026

Hii sio tabia njema😎

Hivi una biblia kweli ndugu?🤨
08/08/2026

Hivi una biblia kweli ndugu?🤨

Vipi mtaimba live au?🤨
07/08/2026

Vipi mtaimba live au?🤨

07/08/2026

Msikilize katibu wetu vizuri

Address

Dodoma

Telephone

+255623808180

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG YOUTH - CA's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TAG YOUTH - CA's:

Shortcuts

Share