Prophet Andrew Senkondo, a Child Of God

Prophet Andrew Senkondo, a Child Of God +255753420780

What Matters, Is The Grace Of God To Continue Living Here After The Life On Earth.
08/04/2024

What Matters, Is The Grace Of God To Continue Living Here After The Life On Earth.

09/08/2022

Check On My page Named Andrew Senkondo (Prophet)

09/08/2022

Football

27/12/2020

God's Time Is The Best Because At God's Time God's Message Just Come And Come And Come And Come Is Like Take,Take And Take From God.

Wishing Happy New Year 2021 In Advance.

Muda Wa Mungu Ni Bora Zaidi Kwa Sababu,Kwenye Muda Wa Mungu,Ujumbe Wa Mungu Unakuja Na Kuja Na Kuja Ni K**a Chukua,Chukua Na Chukua Kutoka Kwake.

Nawatakia Heri Ya Mwaka Mpya 2021.

26/12/2020

Some Days Before, I Was Believing That If SomeOne Dies By Intensionally Drinking(Taking In) Poison He/She Will Straight Go To Hell.
This Kind Of Thought Came To An End When One Day Holy Spirit Critised Me This Way.
..He Placed Infront Of Me A Person Who Took In Poison For The Aim Of Commiting Succide And That Person Was Telling Me That, "I Did This So That I Can Go To Heaven Earlier, Am Tired Of This Life"
Then I Told The Guy,
"Since You Have Decided To Commit Succide By Taking In Poison You Won't Be Accepted In Heaven.

Then The Guy Told Me, "Please Lead Me The Prayer To Repent, I Didn't Know That By Commiting Succide This Way I Won't Get The Chance To Heaven."
I Agreed To Lead Him A Prayer To Repent, He Repented And Immediately After Repenting,He Died.

Then Spirit Of God Asked Me, Where Do You Think This Man Will Go?
To Heaven Or To Hell?

YOUR LAST WORD BEFORE YOU DIE MATTERS, IT CAN CHANGE THE OWNERSHIP COMPLETELY REGARDLESS YOUR LIFE PAST RECORD...(Be Owned by God or Satan) ..What a Person tell Jesus before he /she dies Matters a lot, this is You and Jesus Conversation, WHAT DO YOU TELL HIM? ...
:::Just take an example of Two Criminals(Evil doers ), Luke 23:39-43...
They both had the chance to talk to Jesus before they died, One Talked Rubbish and the other one talked Point, Despite the fact that, He was the Evil doer , a thief, a Pr******te but what He Spoke to Jesus before he died, Gave him the Permission to go to Heaven, here Jesus was the owner.
///This Explains why it is not correct for a man to judge if a person has gone to Heaven or to Hell basing on man's past life record because you don't know what Did he/she talked to Jesus before he died, Only God can Judge(Luke 6:37). ...FACE TO FACE TO JESUS, WHAT DO YOU TALK?...

I Pray, May the Almighty God give you the grace to have the chance repent before you die In the name of Jesus.... Amen and Amen. .Read John 3:5...Very Important this one.

Siku Za Nyuma Nilikuwa Naamini Kwamba Mtu Akijiua Labda Kwa Kunywa Sumu Ni Moja Kwa Moja Motoni.
Fikra Za Namna Hii Ziliisha Baada Ya Siku Flani Roho Mtakatifu Kunikosoa Namna Hii.
..Alimuweka Mbele Yangu Mtu Mmoja Ambaye Ndo Amekunywa Sumu Kwa Lengo La Kujiua, Yule Mtu Akaniambia.
"Nimekunywa Sumu Ili Niwahi Kwenda Mbinguni, Nimechoka Na Maisha Haya Ya Duniani"

Mimi Nikamwambia, "Umekunywa Sumu Kwa Kujiua Mwenyewe, Hautapokelewa Mbinguni Sababu Umejiua"

Yule Mtu Akaniambia, "Sikujua Hilo,Naomba Niongoze Sala Ya Toba Kwa Dhambi Hii"

Nikamuongoza Sala Ya Toba,Alipomaliza Akafa.

Roho Mtakatifu Akaniuliza,Je Unafikiri Mtu Wa Namna Hii Ataenda Wapi? Mbinguni Au Motoni?

✈NENO LAKO LA MWISHO KWA YESU KABLA HUJAFA NI LA MUHIMU SANA, LAWEZA BADILI UHALALI WA UMILIKI BILA KUJALI HISTORIA YA MAISHA YAKO YA NYUMA....(YAANI UWE WA YESU AU WA SHETANI) ..Kile mtu anazungumza na Yesu kabla hajafa kina nguvu sana, Haya ni Mazungumzo kati yako na Yesu, JE UNAZUNGUMZA NINI?...

Ebu tuangalie mfano wa hawa wahalifu wawili,(Luka Mt. 23:39-43)
Wote wawili walipata nafasi ya kuzungumza na Yesu kabla hawajafa, Mmoja akazungumza kwa Upumbavu na Mwingine akazungumza kwa Hekima, Pamoja na kwamba alikuwa Muhalifu kabla, Mwizi kabla, Malaya kabla, lakini kile alichozungumza na Yesu kabla hajafa, ndicho kilichofuta makosa yote na kumpa kibali cha kuingia Mbinguni, Hapa Yesu akawa mmiliki wa huyu Mtu.
///Hii inatufundisha kuwa, Si sahihi kabisa kwa mwanadamu kuhukumu, kuwa mtu flani alikuwa hivi basi yuko mbinguni na Yule yuko motoni, Je Unajua alizungumza nini na Yesu wake kabla ya Mauti?
Hiyo ni Siri yake na Mungu wake, Ni Yesu wa kuhukumu na Si Mwanadamu.... (Luka Mt 6:37)..MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA NA YESU, JE NI NINI UNAZUNGUMZA?

Nakuombea, Bwana Yesu akupe Neema ya Kutubu dhambi zako kabla HUJAFA, Kwa Jina la Yesu... Amen. ..Soma Yohana Mt 3:5...Muhimu Sana hii.

24/12/2020

"GOOD MORNING"

NOT EVERY SERVANT OF GOD IS SENT TO BAPTIZE...OTHERS ARE SENT FOR OTHER PURPOSES LIKE PREACHING GOSPEL.

SO IF YOU DON'T SEE A SERVANT OF GOD IN HIS/HER MINISTRY BAPTIZING PEOPLE WITH WATER, IT DOES NOT MEAN WATER BAPTISM IS NOT IMPORTANT, NO NO. IT IS VERY IMPORTANT, BUT HE IS NOT DOING SO PERHAPS JUST BECAUSE HE IS NOT SENT FOR THAT, BUT HE CAN BAPTIZE BY WATER IF HE/SHE WISHES EVEN IF HE/SHE IS NOT SENT FOR IT.

APOSTLE PAUL SAID IN 1CORINTHIANS 1:14&17.

14. I Thank God That I Baptized None Of You Except Crispus And Gaius.

17. For Christ Did Not Send Me To Baptize But To Preach The Gospel.

SI KILA MTUMISHI WA MUNGU AMETUMWA KUBATIZA... WENGINE WAMETUMWA KWA KAZI NYINGINE K**A VILE KUHUBIRI INJILI.

KWA HIYO K**A HUJAONA MTUMISHI FLANI WA MUNGU KATIKA KANISA LAKE AKIBATIZA KWA MAJI HAIMAANISHI UBATIZO WA MAJI HAUNA MAANA, HAPANA. UBATIZO WA MAJI UNAMAANA KUBWA,ILA YEYE HABATIZI LABDA KWA SABABU HAJATUMWA KUBATIZA INGAWA PAMOJA NA KUTOKUTUMWA KUBATIZA, BADO ANAWEZA KUBATIZA WATU KWA MAJI K**A ATAPENDA. MTUME PAULO ANASEMA KATIKA KITABU CHA 1WAKORINTO1:14&17.

14. Nashukuru Kwasababu Sikumbatiza Mtu Kwenu, Ila Krispo Na Gayo.

17. Maana Kristo Hakunituma Ili Niwabatize,Bali Niihubiri Habari Habari Njema.

21/12/2020

"GOOD MORNING"

Matendo Mitume 2:17,19-20

'17. ITAKUWA SIKU ZA MWISHO, ASEMA MUNGU, NITAWAMWAGIA WATU WOTE WENYE MWILI ROHO YANGU, NA VIJANA WENU WATAONA MAONO; NA WAZEE WENU WATAOTA NDOTO.

19. NAMI NITATOA AJABU KATIKA MBINGU JUU, NA ISHARA KATIKA NCHI CHINI, DAMU NA MOTO, NA MVUKE WA MOSHI.

20. JUA LITAGEUKA KUWA GIZA, NA MWEZI KUWA DAMU, KABLA YA KUJA ILE SIKU YA BWANA ILIYO KUU NA ILIYO DHAHIRI.

21. NA ITAKUWA KILA ATAKAYELIITIA JINA LA BWANA YESU ATAOKOLEWA.

KATIKA SIKU HIZI ZA MWISHO, YAANI MWISHO KABISA YEYOTE MWENYE MWILI ATAKAYE LIITIA JINA NA BWANA YESU,ATAOKOLEWA, YAANI ATAPATA KIBALI KWENDA MBINGUNI.

ACTS 2:17,19-21/ JOEL 2:28,30-32 and MATHEW 24:29-31

HII NI NEEMA NYINGINE KWA WOTE WENYE MWILI LAKINI NI SIKU ZA MWISHO,YAANI MWISHO KABISA.

KUMBUKA, SIKU YA KUJA MWANA WA ADAM(YESU) ITAKUWA NI GHAFLA..NA WATU WAPO WATAKAOKUTWA WAPO HAI{SI WOTE WATAKUFA NDO YESU ARUDI}

Acts 2:17,19-21/ Joel 2:28,30-32

17. And it shall come to pass in the last days,says God,That I will pour out of my Spirit on all flesh.
Your sons and daughters shall prophecy, Your Young men shall dream dreams.

19. I will show wonders in heaven above and signs in the earth beneath: Blood and fire and vapour of smoke.

20. The sun shall be turned into darkness, And the moon into blood, Before the coming of the great and awesome day of the lord.

21. And it shall come to pass that,whoever calls on the name of the lord shall be saved.

IN THESE LAST,LAST DAYS,WHOEVER CALLS THE NAME OF THE LORD JESUS WILL BE SAVED i.e WILL BE TAKEN TO HEAVEN.

THIS IS ANOTHER GOD'S GRACE TO ALL WHO HAVE FLESH BUT THIS IS IN LAST,LAST DAYS.

Remember, The coming of Jesus Christ will be sudden, and still there will people alive.

19/12/2020

YOHANA MT. 3:5..

YESU AKAJIBU, AMIN, AMIN, NAKUAMBIA, MTU ASIPOZALIWA KWA 'MAJI' NA KWA 'ROHO', HAWEZI KUUINGIA UFALWE WA MUNGU.

HII INAMAANA ILI MTU AFAULU KUINGIA KWENYE UFALME WA MUNGU LAZIMA KWANZA AWE AMEBATIZWA KWA MAJI NA ROHO.

HII NI SHERIA YA MUNGU KUANZIA KWA YOHANA MBATIZAJI NA KABLA YA SIKU ZA MWISHO,MWISHO KABISA...AMEN.

John 3:5 ...

JESUS ANSWERED, "TRULY, TRULY, I SAY TO YOU, UNLESS ONE IS BORN OF 'WATER' AND 'SPIRIT', HE CANNOT ENTER THE KINGDOM OF GOD..

THIS MEANS, FOR A PERSON TO QUALIFY TO ENTER THE KINGDOM OF GOD , HE/SHE MUST FIRST BE BAPTIZED WITH BOTH WATER AND THE HOLY SPIRIT.

'THIS GOD'S LAW APPLIES FROM JOHN BAPTIST AND BEFORE THE LAST, LAST DAYS'...AMEN...

"GOOD MORNING"'WATER BAPTISM...WATER BAPTISM...WATER BAPTISM.AS I WAS MEDITATING ON  WHICH ONE OF THE WATER BAPTISM IS A...
18/12/2020

"GOOD MORNING"

'WATER BAPTISM...WATER BAPTISM...WATER BAPTISM.

AS I WAS MEDITATING ON WHICH ONE OF THE WATER BAPTISM IS ACCEPTABLE TO GOD i.e BAPTISM BY DEEP IMMERSION IN WATER OR BY SPRINKLING OR BY POURING WATER.
...HOLLY SPIRIT SHOWED ME IN VISION PLENTY OF WATER LIKE THAT IN THE SWAM OR WELL AND SMALL AMOUNT OF WATER IN A SMALL TIN OF ABOUT TWO LITERS, SAYING THAT ALL ARE ACCEPTABLE FOR BAPTISM....WHAT IS IMPORTANT IS "WATER"..
..SO WHETHER YOU HAVE BEEN BAPTIZED BY DEEP IMMERSION IN WATER OR BY SMALL AMOUNT OF WATER SPRINKLED ON YOUR HEAD OR POURED ON YOUR HEAD...ALL OF THEM ARE WATER BAPTISM WHICH ARE ACCEPTABLE TO GOD....WHAT IS NEEDED IS "JUST BELIEVE".
....REMEMBER I AM A PROPHET OF GOD, SO AM TALKING AS A PROPHET.
....HERE BELOW ARE SOME PICTURES WHICH SHOW THE WATER BAPTISM WHICH ARE ACCEPTABLE TO GOD.....TO HIM BE THE GLORY.

"IF TWO OF YOU AGREE ON EARTH ABOUT ANYTHING THEY ASK, IT WILL BE DONE FOR THEM BY MY FATHER IN HEAVEN.....'MATHEW 18:19'
....WATER BAPTISM BY DEEP IMMERSION IN WATER OR BY SPRINKLING OR POURING ON HEAD, THEY ARE ALL ACCEPTABLE KIND OF BAPTISM TO OUR GOD ALMIGHTY...."JUST BELIEVE"...

UBATIZO WA MAJI...UBATIZO WA MAJI...UBATIZO WA MAJI

NILIPOKUWA NATAFAKARI NI UBATIZO UPI WA MAJI UNAOKUBALIKA KWA MUNGU YAANI UBATIZO WA MAJI MENGI AU UBATIZO WA MAJI MACHACHE YA KUMWAGIWA AU YAKUNYUNYIZIWA...ROHO MTAKATIFU AKANIONESHA KATIKA MAONO MAJI MENGI K**A YALIYO KWENYE BWAWA AU KISIMA NA MAJI MACHACHE KWENYE CHOMBO KIDOGO CHA K**A LITA MBILI HIVI NA KUNIAMBIA KUWA YOTE YAFAA KWA UBATIZO WA MAJI...CHA MUHIMU NI "MAJI"

KWA HIYO IWE UMEBATIZWA KWA MAJI MENGI AU MAJI MACHACHE YAKUNYUNYIZA AU KUMWAGIWA KICHWANI WOTE HUO NI UBATIZO UNAOKUBALIKA KWA MUNGU...KINACHOTAKIWA NI "KUAMINI TU"

KUMBUKA MIMI NI NABII WA MUNGU NAKUPA UNABII K**A NILOVYOPEWA KUTOKA JUU.

ZIFUATAZO NI PICHA ZINAZOONESHA NAMNA MBALI MBALI ZA UBATIZO AMBAO WOTE UNAKUBALIKA KWA MUNGU.
..BWANA YESU APEWE SIFA...

" WAWILI WENU WATAKAPOPATANA DUNIANI KATIKA JAMBO LOLOTE WATAKALOLIOMBA,WATAFANYIWA NA BABA YANGU ALIYE MBINGUNI" (Mathayo Mt.18:19)
..UBATIZO WA MAJI MENGI AU MAJI MACHACHE NI SAWA,WOTE UNAKUBALIKA KWA MUNGU WETU..."AMININI TU"

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Andrew Senkondo, a Child Of God posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share