13/07/2026
Viongozi wa CPCT Mkoa wa pwani leo Jumatatu 13/07/2026 wamepeta fursa ya kufanya mazungumzo na Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh, Abubakar Kunenge. Mazungumzo ambayo yamejikita katika kufahamiana na kiutendaji.
: