Mwinjilisti Enock Jacob ChisomaAzazeli Gospel Ministry

Mwinjilisti Enock Jacob ChisomaAzazeli Gospel Ministry This is an official page of Pastor ENOCK JACOB
( Azazeli Evangelistic Ministries)

Shalom shalom
14/09/2025

Shalom shalom

14/05/2025
Hallelujah to The Lord
06/10/2024

Hallelujah to The Lord

I have reached 1.5K followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉
04/10/2024

I have reached 1.5K followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

Kunako majira Fulani Bwana huwainua watu ili wawe kielelezo Cha Watu wengine Mbele za Mungu. Ni wajibu wangu kuyahubiri ...
03/02/2024

Kunako majira Fulani Bwana huwainua watu ili wawe kielelezo Cha Watu wengine Mbele za Mungu. Ni wajibu wangu kuyahubiri na kuyaishi Yale Bwana Yesu ananifundisha, ili niwe mwanafunzi wa Yesu kwelikweli huku nikiujenga msingi Kwa kuwafanya wengine kuwa wanafunzi wa Yesu Kristo. Nikitoa Historia ya maisha ya utumishi wangu na jinsi nilikotolewa na Bwana Yesu jinsi ilivyokuwa ni vigumu na mbali sana kiasi ambacho hata ukiniacha au ukininyima maji ya kunywa ama tu vile ukashindwa kumwelewa Enock, ila ukweli ni kwamba Siku Ile nilipoondoka nyumbani nilikua sijui niendako lakini nilijua nilikotoka na Mahali nilipo nachojua ilikuwa sio mipango yangu Wala Kwa nguvu za akili zangu. Kwahio nathubutu kusema K**a SI Bwana aliyekuwa pamoja Nami Nisimgelikuwa hivi nilivyo. Nimekuchagua Eee Bwana wangu(Yesu Kristo ) uliyezifikirisha akili zangu na kuzifanya ziwaze k**a uwazavyo wewe ili niwe kielelezo chako Kwa watu wako.
Nawakaribisha nyote tusali, tumwabudu Mungu pamoja na tujifunze Yale yaliyo ya Mbinguni. Basi tukiishi, twaishi kwaajili yake Kristo na ikiwa twafa,twafa kwaajili ya mambo ya dhambi na twafanywa hai kwaajili ya mambo ya umilele ambayo katika hayo twautazamia ujio wa Bwana wetu Yesu Kristo atakaporudi mara ya pili kutuchukua. Je,watamani kuwa miongoni mwao? Basi nikukaribishe uungane nami katika kulitangaza Neno la Bwana, karibu tuabudu sote tumfanyie Bwana shangwe.
Evangelist Enock Jacob
A Pastor of the AZAZELI Evangelistic Gospel Group(Church).

03/12/2023

Karibuni nyote . Wasambazie ujumbe na watu wengine

16/12/2022

Bwana Yesu Asifiwe watu Wa Mungu...

06/10/2022

YESU KRISTO NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE NAAM HATA MILELE ISINGELIKUWEPO YEYE ALIYEKUWEPO ANGEKUWEPO NA TAYARI YUPO.

Karibu Kwa Yesu Kristo usikie habari zake jinsi zinavyosaidia wengi .Alimchagua Mtumishi wake Enock Kukueleza habari hiz...
22/11/2021

Karibu Kwa Yesu Kristo usikie habari zake jinsi zinavyosaidia wengi .Alimchagua Mtumishi wake Enock Kukueleza habari hizo njema ziletazo wokovu na uzima ndani yako.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwinjilisti Enock Jacob ChisomaAzazeli Gospel Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwinjilisti Enock Jacob ChisomaAzazeli Gospel Ministry:

Share