Tagccc-Dodoma

Tagccc-Dodoma Kanisa la Kipentekoste chini ya Kanisa zuri la TAG, tupo Miyuji Dodoma Mkabala na Chuo cha Biblia CBC

09/07/2026

Mkristo aliyesimama kwenye nafasi yake katika Ulimwengu wa Roho na katika mamlaka ya jina la Yesu ni greda la kuvunja ngome za adui.

25/03/2026

KANUNI NA SHERIA ZA UTOAJI🥳...

03/03/2026

✍.Tunapomtazama Yesu, hofu huyeyuka, mashaka yananyamaza, na tumaini linachipua upya.
-Usitazame upepo wa changamoto, mtazame Mwokozi !👑✨
"Mnitazame Mimi, mkaokolewe…’ – Isaya 45:22"

”

09/02/2026

ANZA VIZURI MWAKA 2026
KUNA MAENEO MAKUU 4 YA KUZINGATIA ILI KUANZA VIZURI
1. Nidhamu Ya Maisha Ya Kiroho.
2. Hali Ya Uchumi Na Maendeleo
3. Matunzo Ya Afya Yako
4. Mahusiano Na Mawasiliano Katika Jamii.

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tagccc-Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share