PEFA Kizota Dodoma

PEFA Kizota Dodoma Ni kanisa la kipentekoste lililopo manispaa ya Dodoma mjini! Ili kufika panda gari zinazoelekea nkuhungu kisha shuka kituo cha daraja la kwanza utaona kiba

08/06/2024

...kwaya ya vijana toka hapa PEFA Kizota Dodoma

... karibu katika ibada zenye nguvu na moto wa Roho Mtakatifu!
07/06/2024

... karibu katika ibada zenye nguvu na moto wa Roho Mtakatifu!

..ibada ya leo ilikuwa njema sana!Tumemuona Mungu akiuhudumia!Tulikuwa na Pastor Mwasote kutoka mbeya pamoja na waimbaji...
14/08/2022

..ibada ya leo ilikuwa njema sana!Tumemuona Mungu akiuhudumia!Tulikuwa na Pastor Mwasote kutoka mbeya pamoja na waimbaji mbali mbali!

08/08/2022

..katika uimbaji kwaya ya PEFA kutoka Bahi kwa Pastor Mathew ikihudumu katika mkutano siku ya mwisho ya mkutano!

...baadhi ya matukio kwenye Siku ya mwisho ya mkutano mkubwa wa injili uliofanyika katika viwanja vya kanisa la PEFA KIZ...
07/08/2022

...baadhi ya matukio kwenye Siku ya mwisho ya mkutano mkubwa wa injili uliofanyika katika viwanja vya kanisa la PEFA KIZOTA! Mungu ameokoa na kuponya watu!

06/08/2022

Ratiba ya kesho!Tutaanza na Ibada asbh saa 3:00-6:00 mchana!
Kisha tutaendelea na mkutano mchana

06/08/2022

Kesho tunaendelea na mkutano katika viwanja vya kanisa la PEFA KIZOTA

Mkutano unaoendelea katika viwanja vya kanisa la PEFA KIZOTA!
06/08/2022

Mkutano unaoendelea katika viwanja vya kanisa la PEFA KIZOTA!

05/08/2022

Mkaribishe na mwingine!

Namna ya kufika ukiwa unatokea katikati ya Jiji la DODOMA panda hiace (daladala) za kwenda nkuhungu Kisha shuka kwenye k...
05/08/2022

Namna ya kufika ukiwa unatokea katikati ya Jiji la DODOMA panda hiace (daladala) za kwenda nkuhungu Kisha shuka kwenye kituo cha daraja la kwanza utaona kibao hiko hapo chini kitakacho kupeleka Moja kwa moja hadi kanisa lilipo!

05/08/2022

Tunakukaribisha kwenye mkutano wa INJILI unaoendelea katika viwanja vya kanisa la PEFA KIZOTA!

Address

Dodoma

Telephone

0756529846

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PEFA Kizota Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share