Daniel o Ndegi

Daniel o  Ndegi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Daniel o Ndegi, Church of Christ, Dodoma Outlying.

Heri ya kuzaliwa Mke wa Daniel Onesmo Ndegi. Neema ya Mungu ni nyingi sana kwako.Ishi kusudi la mwito wako siku zote.
18/10/2024

Heri ya kuzaliwa Mke wa Daniel Onesmo Ndegi.

Neema ya Mungu ni nyingi sana kwako.
Ishi kusudi la mwito wako siku zote.

Karibu uabudu pamoja nasi Living Water Church Dodoma,  Iyumbu Extension Karibu na shule ya mfano
19/09/2024

Karibu uabudu pamoja nasi Living Water Church Dodoma, Iyumbu Extension Karibu na shule ya mfano

“kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao.”  1 Wakorintho 16:9UNAHITAJI NGUVU KUWEZ...
22/12/2022

“kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wako wengi wanipingao.”
1 Wakorintho 16:9

UNAHITAJI NGUVU KUWEZA KUSHINDA.

Akawambia Niko pamoja nanyi.Mathayo 28 ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹⁸ Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbin...
29/10/2022

Akawambia Niko pamoja nanyi.

Mathayo 28
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁸ Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
¹⁹ Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
²⁰ na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
LIVING WATER CENTRE DODOMA IYUMBU HUKUPA NURU YA MAISHA.

“Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.”  — Mathayo 10:39  LIVIN...
29/10/2022

“Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.”
— Mathayo 10:39


LIVING WATER CENTRE DODOMA IYUMBU HUKUPA NURU YA MAISHA.

Kila mwenye nafsi anapaswa kuwa Mwana wa Mungu.  hata mmoja. LIVING WATER CENTRE DODOMA IYUMBU HUKUPA NURU YA MAISHA.
29/10/2022

Kila mwenye nafsi anapaswa kuwa Mwana wa Mungu.
hata mmoja.
LIVING WATER CENTRE DODOMA IYUMBU HUKUPA NURU YA MAISHA.

“Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu.”  — Mithali 3:13KARIBU LIVING WATER CENTRE DODOMA IYUMBU. ABU...
27/10/2022

“Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu.”
— Mithali 3:13

KARIBU LIVING WATER CENTRE DODOMA IYUMBU.
ABUDU PAMOJA NASI K**A FAMILIA YA MUNGU.

Matthew 9:37Yesu akawaambia wafuasi wake, “Kuna mavuno mengi ya watu ya kuleta. Lakini kuna wafanyakazi wachache wa kusa...
27/10/2022

Matthew 9:37
Yesu akawaambia wafuasi wake, “Kuna mavuno mengi ya watu ya kuleta. Lakini kuna wafanyakazi wachache wa kusaidia kuwavuna. Mungu anamiliki mavuno. Mwombeni atume wafanyakazi wengi zaidi wa kusaidia kukusanya mavuno yake.”
Mathayo 9:37‭-‬38 TKU

Kuishi, kufanya chochote katika maisha unahitaji Neema ya Kristo.Maisha yako yawe yenye ustawi mkubwa sana.    Clara Reg...
25/10/2022

Kuishi, kufanya chochote katika maisha unahitaji Neema ya Kristo.

Maisha yako yawe yenye ustawi mkubwa sana.



Clara Reginald

Happy birthday Daniel Onesmo Ndegi.
24/09/2022

Happy birthday Daniel Onesmo Ndegi.

BORA YA KUZALIWA MIAKA 30+ ILIOPITA KWENYE MWILI HUU ,
24/09/2022

BORA YA KUZALIWA MIAKA 30+ ILIOPITA KWENYE MWILI HUU ,

Address

Dodoma Outlying

Telephone

+255673024487

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daniel o Ndegi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share