FPCT PUGU Kajiungeni

FPCT PUGU Kajiungeni Kanisa la FPCT Pugu Kajiungeni ni Kanisa la Kisasa lilopo Pugu Kona karibu na uwanja wa Mpira.

03/06/2026
02/06/2026

Bado siku saba tu kuelekea Kambi ya Mabadiliko ya Kiroho kwa Vijana

25/05/2026

Usikose kambi kubwa la vijana HUIMA kanda ya Pwani itakayokutanisha vijana kutoka majimbo matano (Pwani, Dar es salaam, Mashariki, Kilombero na Kusini)

Kambi itafanyikia Pugu Sekondari kuanzia tarehe 9.6.2026 hadi tarehe 11.6.2026.

Ada ni Tsh 15,000 to kwa ajili ya chakula , malazi na uendeshaji.

Mawasiliano zaidi.

0758 427 381
(Katibu -Kamati ya maandalizi)

23/05/2026

Kwaya ya Wanaume wa FPCT Pugu Kajiungeni ilipoalikwa FPCT airport wakati wanazindua umoja wa wanaume

Karibu sana kweye Semina ya Pentekoste
19/05/2026

Karibu sana kweye Semina ya Pentekoste

Address

Pugu Kajiungeni
Dar Es Salam
14809

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT PUGU Kajiungeni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT PUGU Kajiungeni:

Share