KKKT Usharika wa Segerea

KKKT Usharika wa Segerea dedicated to revealing the Gospel in our daily lives, transforming our communities, and preaching th

KARIBU KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU.KKKT USHARIKA WA SEGEREA.  YA KUFIKIA HATMA YAKO #
14/12/2025

KARIBU KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU.
KKKT USHARIKA WA SEGEREA.

YA KUFIKIA HATMA YAKO #

Mungu akupe Neema ya kufika katika huu mkutano.Tegemea Baraka za Mungu..Karibu sana@
07/09/2025

Mungu akupe Neema ya kufika katika huu mkutano.
Tegemea Baraka za Mungu..
Karibu sana
@

JUMAPILI TAREHE 17 August 2025..Muhimu kuwahi ibada ni moja saa 1 asubuhi hadi saa 4 AsubuhiKaribuni wote.
15/08/2025

JUMAPILI TAREHE 17 August 2025..
Muhimu kuwahi ibada ni moja saa 1 asubuhi hadi saa 4 Asubuhi

Karibuni wote.

Bwana asifiwe sana.SEMINA SEMINA SEMINASEMINA YA NENO LA MUNGU,MAOMBI NA MAOMBEZI.Nikukaribishe sana Kwenye hii Semina y...
10/08/2025

Bwana asifiwe sana.
SEMINA SEMINA SEMINA
SEMINA YA NENO LA MUNGU,MAOMBI NA MAOMBEZI.

Nikukaribishe sana Kwenye hii Semina ya baraka itaanza SAA KUMI NA MOJA JIONI HADI SAA MBOLI USIKU.

NI HAPA USHARIKA WA SEGEREA JITAHIDI SANA KUWAHI.

KARIBU SANA SANA

Anza Mwaka na Bwana Semina ya Neno la Mungu na Mchungaji Kiongozi.Karibu sana.
06/01/2025

Anza Mwaka na Bwana
Semina ya Neno la Mungu na Mchungaji Kiongozi.

Karibu sana.

Usikose hii Neema
17/11/2024

Usikose hii Neema

MKUTANO MKUBWA WA INJILI KKKT Usharika wa Segerea .USIKOSE MJULISHE NA MWINGINE🙏🙏🙏MAOMBI NA MAOMBEZI WAGONJWA NA WENYE M...
21/09/2024

MKUTANO MKUBWA WA INJILI KKKT Usharika wa Segerea .
USIKOSE MJULISHE NA MWINGINE
🙏🙏🙏
MAOMBI NA MAOMBEZI
WAGONJWA NA WENYE MAHITAJI YESU ATAWAPONYA.

CHANGIA DAMU OKOA MAISHAJMOSI.
15/08/2024

CHANGIA DAMU OKOA MAISHA
JMOSI.

KAMBI YA AFYA NI LEO NA KESHO IJUMAANI BUREMKARIBISHE NA MWINGINE.  #
15/08/2024

KAMBI YA AFYA NI LEO NA KESHO IJUMAA
NI BURE
MKARIBISHE NA MWINGINE.
#

Tunaanza leoUsikose hii neema mkaribishe na mwingine..SEMINANA YA NENO LA MUNGU.
11/08/2024

Tunaanza leo
Usikose hii neema mkaribishe na mwingine..
SEMINANA YA NENO LA MUNGU.

24/05/2024

Day 5
Maombi ya Kujinasua na Roho za uharibifu

22/05/2024

Day 3/8
Mungu ni mwema
Bado tunaendelea karibu sana.

Address

Tabata_Segerea Dar Es Salaam
Dar Es Salam

Telephone

+255715422383

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Usharika wa Segerea posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share