Genesis Sda Choir External

Genesis Sda Choir External Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Genesis Sda Choir External, Religious organisation, Dar es Salam.

Ni tarehe 26.08.2023 Kutakuwa na tukio Kubwa  la kuweka wakfu santuri mwonekano  mda ni saa 3:00 asubuh nyote mnakaribis...
23/08/2023

Ni tarehe 26.08.2023 Kutakuwa na tukio Kubwa la kuweka wakfu santuri mwonekano mda ni saa 3:00 asubuh nyote mnakaribishwa.

Kwaya ya Genesis katika maandalizi ya Makambi 2022 mtaa wa Ubungo
01/08/2022

Kwaya ya Genesis katika maandalizi ya Makambi 2022 mtaa wa Ubungo

03/06/2020

The Genesis kwaya external wakiwasili kwenye moja ya kambi uko kigamboni kutoa huduma

25/05/2020

Barikiwa unaposikiliza Wimbo huu

Genesis Tunawatakia Sabato njema
24/01/2020

Genesis Tunawatakia Sabato njema

Tuawatakia maandalizi mema ya Sabato
10/01/2020

Tuawatakia maandalizi mema ya Sabato

Moja ya mialiko makin Kibada Iyo full kiyoyoz
10/01/2020

Moja ya mialiko makin Kibada Iyo full kiyoyoz

Tukiwa kwenye moja kati ya mialiko makini huko kibada .Tarehe  15/9/2019  tutakuwa Mabibo farasi kwenye uzinduzi wao kar...
05/09/2019

Tukiwa kwenye moja kati ya mialiko makini huko kibada .Tarehe 15/9/2019 tutakuwa Mabibo farasi kwenye uzinduzi wao karibuni sana

27/08/2019

KWAYA IKIWASILI KIBADA KWA AJILIYA HUDUMA ASANTENI NYOTE HAKIKA ILIKUWA SIKU NJEMA KWETU .Kwa mwariko wowote usisite kutuita nje ya nchi au ndani ya Tz tupo tayari 0658 122 909

27/08/2019

Hapa Tukiwa Tunaelekea kibada Kwenye Ufunguzi wa Kambi 24.8.2019 Hakika Mungu alitukuzwa

Address

Dar Es Salam
12654

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Genesis Sda Choir External posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share