HevuMeena Entertainment Company

HevuMeena Entertainment Company Movie

You are what you eat. You are what you feed yourself with. Your spiritual diet can transform your spiritual destiny. 💪💪
08/11/2023

You are what you eat. You are what you feed yourself with. Your spiritual diet can transform your spiritual destiny. 💪💪

K**a BWANA asingalikuwa msaada wangu, Nafsi yangu kwa upesi ingalikaa penye kimya.😭Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee ...
19/08/2023

K**a BWANA asingalikuwa msaada wangu, Nafsi yangu kwa upesi ingalikaa penye kimya.😭Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza.💪 Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu, Faraja zako zaifurahisha roho yangu. 🤗🥰💃💃

Mme wangu nashukuru kwa kufanya weekend yangu kuwa zuri 💃 💃Mungu alijua kabisa nahitaji mwanaume k**a wewe utakaenipa ng...
18/06/2023

Mme wangu nashukuru kwa kufanya weekend yangu kuwa zuri 💃 💃Mungu alijua kabisa nahitaji mwanaume k**a wewe utakaenipa nguvu wakati nimechoka, utakayekamilisha udhaifu wangu, utakaekuwa rafiki na msikivu wangu, utakaekuwa pale wakati wowote napohitaji mtu wa kuongea nae au kunisikiliza, utakae nipunguzia mzigo napolemewa, utakaenipa matumaini napochoka na kunipa nguvu za kusonga mbele 🙌. Kiukweli ungenambia unakuja ningekukataza kutokana na ubize na Mambo yanavyoenda 😔 bt surprise yako imenibamba mchuchu na imekuwa ya tofaut na haijawahi kutokea 🔨.. namshukuru Mungu kwaajili ya wewe mume wangu kipenzi na namshukuru kwa kutoa kipande Cha ubavu wako kwaajili yangu, kiukweli ningetoka kwenye ubavu wa mwingine tusingewezana 🤣🙌 ni wewe tu unanijulia na kuniweza.🙌 Tangu siku ya kwanza nakuona,tangu siku ya kwanza tunaingia kwenye mahusiano, tangu siku ya kwanza tunaoana mpaka Leo sijawahi kujutia kuwa na wewe au kukufahamu 🤗 wewe ni baraka maishani mwangu Asante kwa kunikamilisha.. nakupenda mno ❤️

We are not famous, we don't have lots of money, but what we have is worth more than fame and money put together...All my...
21/03/2023

We are not famous, we don't have lots of money, but what we have is worth more than fame and money put together...All my life you have been there. You picked me up when I was down. You encouraged me when I had doubt. And you always loved me, even when I was unlovable. Our love for one another is, was and will always remain strong, I love yo with all my heart.❤️

Saying 'I do"💍 to spending the rest of my life with you was the best decision I've ever made.👰 Happy anniversary to the ...
06/03/2023

Saying 'I do"💍 to spending the rest of my life with you was the best decision I've ever made.👰 Happy anniversary to the only person in the world that I want beside me every day and every night for the rest my life😘. Thank you for teaching me the meaning of love and loving me unconditionally every day❤️..You are not just the husband I hoped for, 😔but the husband every woman in the world hopes to have.🥰 I love you and I want all of you, forever, everyday. You and me... everyday.❤️

We pray that God gives a perfect partner for you as he (God) has a husband and wife for you that will complement the Call in yo life not complecate the call, 👌that will loves and cherish you💑, that will gives you happiness 💑and not sadness🥺,that will make you laugh 😂 and not makes you cry 😭. May this be yo portion today in Jesus name.

Libarikiwe tumbo lililokuzaa na kukubeba miezi 9 mume wangu, abarikiwe mwanamke aliyekubeba mikononi mwake na kukunyonye...
25/02/2023

Libarikiwe tumbo lililokuzaa na kukubeba miezi 9 mume wangu, abarikiwe mwanamke aliyekubeba mikononi mwake na kukunyonyesha. Namshukuru Mungu kwaajili ya wewe kipenzi changu 😘Asante kwa kunichagua na kunioa 💍 Asante kwa kuwa mume bora kwangu, rafiki yangu wa karibu, mmbea mwenzangu, msiri wangu.. Asante kwa kuwa mwal mzuri Kwny maisha yangu 🙇🏽‍♀️ umekuwa ukinifundisha kiroho na kinaisha pia...hujawahi kuchoka kuwa pale kwaajili yangu..🙌Leo kwenye Siku yako ya kuzaliwa naomba Mungu akaguse waume angalau 10 na kuwafanya wawe waume bora kwa wake zao k**a ulivyo wewe..ni ombi langu kwenye siku hii Mungu awape Amani na furaha ndoa ambazo hazina Amani..ni omba langu kwa mabinti Mungu akawape waume wazuri na wema k**a Sande wangu..babe hongera kwa kuongeza mwaka mwingine siku ya leo Mungu azidi kukupa hekima, kukulinda,kukutunza kwaajili yangu, wanetu na kwaajili ya dunia pia, nakupenda mnoo mnooo happy birthday hubby ❤️

Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu. Ee nafsi yangu, umhimidi ...
10/01/2023

Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote. - Zaburi 103:1,2

Tunawaombea Amani,furaha,uimara,kicheko ambacho Mungu ameweka katikati yetu iwe fungu lako siku ya leo kwa jina la Yesu....
10/11/2022

Tunawaombea Amani,furaha,uimara,kicheko ambacho Mungu ameweka katikati yetu iwe fungu lako siku ya leo kwa jina la Yesu... mahusiano bila huzuni, bila machozi inawezekana,mkawe imara hata wakati mnapitia magumu,mkawe na Amani hata wakati hamuoni tumaini,furaha ikawe fungu la maisha yenu siku zote in Jesus name. Amen🙏

Hakika Kuna Nguvu kubwa sana katika Maombi, Mungu alijibu zamani na hata Leo anajibu..omba bila kukoma.Tunamshukuru Mung...
02/11/2022

Hakika Kuna Nguvu kubwa sana katika Maombi, Mungu alijibu zamani na hata Leo anajibu..omba bila kukoma.

Tunamshukuru Mungu kwaajili ya ushuhuda huu mkuu hakika jina lake litukuzwe 🙏

MAOMBI1. Bwana k**a vile chombo mkononi kwa mfinyanzi kinapoharibika anakifanya tena kuwa chombo kingine sawasawa na aon...
31/10/2022

MAOMBI
1. Bwana k**a vile chombo mkononi kwa mfinyanzi kinapoharibika anakifanya tena kuwa chombo kingine sawasawa na aonavyo yeye (Yeremia 18:4) mimi nami ni chombo katika mikono yako sawasawa na Isaya 64:8, Yeremia 18:6 naomba unifanye kwa upya jinsi upendavyo wewe,Ifanye ndoa yangu kwa upya jinsi upendavyo wewe, fanya biashara yangu kwa upya jinsi upendavyo wewe (ombea chochote kilichoharibika na unahitaji Mungu akifanye kwa upya sawasawa na apendavyo yeye. Kumbuka vitu vyote vimeumbwa na Mungu na anauwezo wa kuzifanya jinsi atakavyo yeye..)

2.Eee Bwana nisaidie niache njia zangu mbaya,nipe neema ya kutengeneza njia zangu na Matendo yangu katika jina la Yesu.

To my better half,I wish you a happy anniversary. The good things in life are more enjoyable when shared with you, and I...
06/09/2022

To my better half,I wish you a happy anniversary. The good things in life are more enjoyable when shared with you, and I would rather die with you than with anybody else. May our love for each other last a lifetime, as we make a lovely couple. Happy anniversary, my love..I love you soo much❤️

Address

5860
Dar Es Salam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HevuMeena Entertainment Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to HevuMeena Entertainment Company:

Share