VOGIM MINISTRIES

VOGIM MINISTRIES We preach the word of God, we pray for the sicks, we teach you about salvaton and let people know the power of God. Local business

03/09/2024

JIHADHARI NA FAKE UNICEF FOUNDATION
Mithali 6: 31 Lakini mwizi akipatikana atalipa mara saba Kwa mamlaka ya Jina la Yesu tunaamuru huyu Morris na kundi lake la wezi wa mitandaoni wa huko Nairobi wakak**atwe na kutiwa hatiani na wakafilisiwe mara saba k**a andiko linavyosema katika Biblia takatifu. Fedha walizowaibia wana East Africa zikawatokee puani Wakapigwe na familia zao kwa moto wa Mungu

Hii ni foundation ambayo imejibatiza jina hilo lakini haina uhusiano na UNICEF Hii Unicef Foundation ni fake na lengo lake ni kuwaibia watu fedha kwa njia ya mtandao,
Maelezo yao wanadai wanatoa msaada wa fedha kwa wananchi wa Kenya na Tanzania kwa ajili ya kupambana na Umasikini Wanakusisitiza ukipata hizo pesa uzitumie vizuri
Mahali Walipo:
Kenya Nairobi au Mombasa
Mtu mmoja anaitwa MORRIS MWANGI-Huyu ndiye kinara wa utapeli Namba ambazo watawasiliana nawe ni k**a zifuatazo:
+254 753 03 26 78
+ 254 753 5220710
Jinsi Wanavyokuibia
1. Ujumbe wa kushawishi
2. Wanaingia kwenye akaunti ya facebook ya marafiki zako
3. Unapokea ujumbe kutoka kwao kupitia messenger ya rafiki
zako
4. Kila rafiki yako(ni Fake Unicef Foundation wamejifanya)
Ujumbe wao unakushudia Unicef Foundation ni halali naye
pia amefaidika
5. Ukijibu huo ujumbe wewe utadhani unawasiliana na rafiki yako
kumbe ni hao Fake Unicef Foundation wanakujibu Wewe
utadhani unawasiliana na rafiki yako na itakupelekea kuamini.
6. Ujumbe huo unakuwa na link ya WhatsApp.
7. Link hiyo ukibonyeza inakuunganisha nao.
8. Utatumiwa code 6 za Facebook ambazo utatakiwa ujaze na
kuwatumia.
9. Ukishatuma wanakutumia maswali ujaze jina lako na simu na
kiasi
10. Wanakutumia orodha ya kiasi cha sponsorship na kiwango
cha fedha utakazopenda kusaidiwa
11. Ukishachagua, watakuambia utume ada ya usajili, ada ya
kutransfer fedha na mwisho watakuambuia utume ada ya
money transfer kwa ajili ya Equity Benki Haijalishi una akaunti
katika benki hiyo au lah
Mwisho:
1. Hawa watu watakuwa wamewaibia watu wengi sana katika
nchi za Afrika mashariki
2. Hawa ndio waswahili majuha wenye kuwaza wizi badala ya
kutumia mitandao hii kwa njia chanya na faida
3. Hizi Akaunti za Facebook haziko salama na mitandao yote
haiko salama Kwa hiyo usijimwage kwenye hii mitandao
Imejaa majizi
Ukipokea Ujumbe wowote kutoka kwa watu hao Upuuzie ni
uwongo

08/03/2024

Growing Up Spiritually

Dear brothers and sisters, don’t be childish in your understanding of these things. Be innocent as babies when it comes to evil, but be mature in understanding matters of this kind. (1 Corinthians 14:20 )
You can’t be a kid again. But in one sense you can, because the Bible teaches that as Christians, we should be childlike in our faith. Jesus said, “I tell you the truth, unless you turn from your sins and become like little children, you will never get into the Kingdom of Heaven” (Matthew 18:3 ).
When I became a Christian, it was like a new world to me. I realized that I had so much to learn. I also realized that I really didn’t even know what I thought about so many issues in life, what really mattered, and what my priorities were.
The apostle Paul urged the believers in Corinth, “Dear brothers and sisters, don’t be childish in your understanding of these things. Be innocent as babies when it comes to evil, but be mature in understanding matters of this kind” (1 Corinthians 14:20 ).
There are some areas of the Christian life in which we should be childlike, in which we should be simple. We don’t need to know all the intricacies of evil and the way this world works. We need to maintain our dependence on God and be childlike in that way.
On the other hand, there are areas in which we need to mature and grow. Of course, there is nothing wrong with being spiritual babies when we’re new in the faith. But as the years pass, we need to become spiritually mature.
When we begin as Christians, when we put our faith in Jesus Christ, when we are born again, we start out as spiritual infants. This is true of every person, regardless of age. Everyone starts out this way in the faith.
Some people were raised in the church and have always been familiar with the Bible, with worship, and with prayer. But at some point, they realized their walk with God needed to be their own, so they made their own personal commitment to the Lord.
Others came in cold from the world. I was one of those people. I had no background in the church. I had no understanding of the Bible. And I had never worshipped God before. I knew nothing about prayer. I knew relatively nothing about Jesus.
When we’re new in the faith, it’s all so different. It’s a bit of a mystery. That’s why we need people to help us acclimate. We need to learn how to start growing up spiritually.
I like the questions that new believers ask. I like the statements they make. But best of all, I like their zeal. They’re excited about what Christ has done for them.
A church that does not have a constant flow of new believers coming in will be a church that is stagnating spiritually. New believers need more mature believers to help them get grounded. And mature believers need new believers to help remind them of what really matters in life.
We need to remain childlike with our excitement about our faith, but we also need to mature and grow spiritually.

03/01/2024

Wanawake Jiheshimuni.
Tumechoka kuona picha za mkatiko na mauno, picha za utupu Tunaomba
Mmejidhalilisha Sana basi 2024 Mbadilike

15/12/2023

K**a wawekezaji wanavyoondoka Na Sisi muda so mrefu tutafunga akaunti zetu katika hii Fb Tumechoka na stori za ajabu,watu wa ajabu na akina dada wanaovaa nguo za aibu na video za aibu

06/11/2023
18/10/2023

Usijifie kushindwa Jisifu Kwa ushindi
Unapopewa nafasi Jitahidi madaraka yako watu wengi zaidi wanafanikiwa Ni vizuri zaidi upanue wigo Wasaidiwe Hata wale ambao siyo ndugu zako.Ukiwa mwalimu, jitahidi kufundisha wanafunzi wakuelewe na wafaulu.Ukiona wanafunzi wanafeli au kurudia mwaka Hujafanya kazi yako vizuri.Ukiwa kocha wa timu ya mpira Wafundishe vizuri na watashinda mechi na kuleta vikombe Tuache kuwa na tabia na tabia za kuwakwamisha, Kuweka utaratibu mgumu, kuchelewesha au mizengwe Ili wenzetu washindwe Huo ni Uchawi.Dunia ni fupi Wawezeshe wenzako wafanikiwe na kufanya maisha ya mepesi Ulaya wanafikiria kuwa na treni ya kilometer 800 Kwa Saa Sisi ndiyo kwanza tunakwenda kilometa 2 Kwa Saa.

Address

Mbezi Mwisho, Kingazi A
Dar Es Salam

Opening Hours

Monday 04:30 - 06:00
Tuesday 04:30 - 06:00
Thursday 04:30 - 06:00
Saturday 04:30 - 06:00
Sunday 09:00 - 06:00

Telephone

+255687637253

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VOGIM MINISTRIES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share