The Living Word of God

The Living Word of God Neno la Mungu li hai (Ebrania 4:12)

14/06/2025
04/02/2025

Kuthubutu ni ufunguo wa kesho mpya

04/02/2025

Focus and consistency will make you achieve you vision.

04/02/2025

2 Wafalme 4:24
[24]Akatandika punda, akamwambia mtumishi wake, Mwendeshe, twendelee mbele. Usinipunguzie mwendo, nisipokuambia.

06/10/2022

"BWANA Mungu wako ni Mungu mwenye wivu.."
Kutoka 20:5
Tunapotamani kumjua sana Mungu tuendelee kutafakari Wivu wa Mungu

Ukitaka kuliishi hili Neno FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE ni lazima ukubali kuwa katika Bwana siku zote, ndipo uchague ...
06/09/2022

Ukitaka kuliishi hili Neno FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE ni lazima ukubali kuwa katika Bwana siku zote, ndipo uchague kufurahi ukiwa ndani ya Bwana. Mtafute Mungu na umjue ndipo Utakuwa na furaha na Amani k**a mto wa maji yabubujiakayo. Huwezi kufurahi katika Bwana ikiwa wewe mwenyewe uko nje ya Bwana.
Shalom shalom!

Address

Tabata Kinyerezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Living Word of God posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Living Word of God:

Share