Fpct- New Jerusalem Temple Manyoni

Fpct- New Jerusalem Temple Manyoni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fpct- New Jerusalem Temple Manyoni, Religious organisation, Dar es Salaam.

14/08/2022

Shalom shalom!!
Kanisa la New Jerusalem temple tunakukaribisha sana kwenye kongamano kubwa sana la Uamsho, litakalofanyika hapa Fpct Manyoni kuanzia Tarehe 30/08-03/09/2022.. Karibu sana

12/12/2021

Kilele cha wiki ya watoto, imekuwa baraka sanaa

Matukio katika picha,  kongamano la Vijana kitaifa Tabora,  lilianza 15-19/06/2021. Vijana wamebarikiwa kwa mafundisho m...
20/06/2021

Matukio katika picha, kongamano la Vijana kitaifa Tabora, lilianza 15-19/06/2021. Vijana wamebarikiwa kwa mafundisho mazuri yaliyofundishwa na walimu mahiri wakiongozwa na Askofu mkuu wa FPCT Ndg. Stevie Mulenga.

30/05/2021

Tangazo tangazo, Kongamano kubwa la Vijana Manyoni kuanzia tarehe 07/06-13/06 2021

27/04/2021

Imekuwa ni ibaada ya baraka sana baada ya U.W.W kuhitimisha wiki yao kwa kuwabariki wenye uhitaji, Mungu awabariki sana.

Siku 40 za maombi,  shiriki na husika na maombi haya hakika utauona mkono mkuu wa Bwana.. K**a upo manyoni karibu sana m...
06/01/2021

Siku 40 za maombi, shiriki na husika na maombi haya hakika utauona mkono mkuu wa Bwana.. K**a upo manyoni karibu sana mtaa wa samaria lilipo kanisa letu la FPCT tuombe pamoja...

Imetupasa tumwabudu yeye tu aliyezifanya mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,  Shuhuda zake haziele...
18/07/2020

Imetupasa tumwabudu yeye tu aliyezifanya mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, Shuhuda zake hazielezeki, tumwabudu yeye tu peke yake

Ungana na askofu wetu mkuu na watanzania kwa maombi ya siku 3 ya shukrani kwa Mungu..
19/05/2020

Ungana na askofu wetu mkuu na watanzania kwa maombi ya siku 3 ya shukrani kwa Mungu..

KONGAMANO KUBWA LA PASAKA LA HUIMA LINAENDELEA HAPA FPCT MANYONI, NI FURAHA KUBWA SANA KWA UKOMBOZ WA BWANA WETU YETU YE...
20/04/2019

KONGAMANO KUBWA LA PASAKA LA HUIMA LINAENDELEA HAPA FPCT MANYONI, NI FURAHA KUBWA SANA KWA UKOMBOZ WA BWANA WETU YETU YESY KRISTO.

04/02/2019

Tamka jambo kupitia maombi haya ya siku 40 ya kitaifa na Mungu atafanya jambo kwako, Kumbuka hakuna jambo lililo gumu mbele zake..

Baada ya ibada ya mwaka mpya, vijana walkuwa na picnic ambapo walipata fursa ya kubadilishana mawazo juu ya mambo mbalim...
07/01/2019

Baada ya ibada ya mwaka mpya, vijana walkuwa na picnic ambapo walipata fursa ya kubadilishana mawazo juu ya mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya ujana..

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fpct- New Jerusalem Temple Manyoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share