Makongo JUU SDA CHOIR

Makongo JUU SDA CHOIR Makongo Juu SDA Choir, was established in 2003 at Makongo Juu when the University of Da es Salaam SDA Church branch(makongo juu) was entiled CHURCH

Mungu amekuwa mwema sana🤲🏽Watazamaji zaidi ya 150,000 ndani ya mwezi mmoja tu katika “Wimbo wa Musa na Mwanakondoo”Mungu...
19/11/2025

Mungu amekuwa mwema sana🤲🏽
Watazamaji zaidi ya 150,000 ndani ya mwezi mmoja tu katika “Wimbo wa Musa na Mwanakondoo”

Mungu awabariki nyote mnaondelea ku-share huu wimbo.

Link: https://youtu.be/2UMVJwLRKvw?si=rP_B0u6I1Msr_fZx

✨ Mguso wa *“Wimbo wa Musa na Mwanakondoo”* 🔥🙌🏽Usikose Jumamosi hii (25/10/2025) pale Makongo Juu Sda Church.Ni uzinduzi...
23/10/2025

✨ Mguso wa *“Wimbo wa Musa na Mwanakondoo”* 🔥🙌🏽

Usikose Jumamosi hii (25/10/2025) pale Makongo Juu Sda Church.

Ni uzinduzi wa kipekee sanaa🙌🏽🔥
Alika ndugu, jamaa na rafiki

https://youtu.be/2UMVJwLRKvw?si=0iPnHhdH75KCE8wB

⏳ Tumefikisha 1,000+ subscribers katika YouTube Channel yetu ya Makongo Juu Sda Choir Mungu atukuzwe, tunawashukuru nyot...
23/10/2025

⏳ Tumefikisha 1,000+ subscribers katika YouTube Channel yetu ya Makongo Juu Sda Choir
Mungu atukuzwe, tunawashukuru nyote

✨Kama bado hauja-subscribe fanya hivyo ili uwe wa kwanza kuona mengi yanayoletwa kwako kutoka Makongo Juu Sda Choir
Link: https://youtube.com/?si=Ay3NzCLzXJt_FA45

✨Tunazidi kumtukuza Mungu kwa ajili yako wewe uliyechukua muda wako kutazama hii video ya “Wimbo wa Musa na Mwanakondoo”...
22/10/2025

✨Tunazidi kumtukuza Mungu kwa ajili yako wewe uliyechukua muda wako kutazama hii video ya “Wimbo wa Musa na Mwanakondoo”

⏯️Ndani ya siku 5 watazamaji zaidi ya 30,000

⏳Tuzidi kusambaza huu upendo wengi wapate shauku ya kuimba “Wimbo wa Musa na Mwanakondoo”
Link: https://youtu.be/2UMVJwLRKvw?si=7oXyoI5jXJFyz1-C

22/10/2025
17/10/2025

Moja ya shauku ya wakristo wengi hasa wanaosubiri ujio wa Yesu mara ya pili ni kuimba wimbo wa Musa na Mwanakondoo katika makao mapya ambayo Kristo amewaanda...

Address

Makongo Juu
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makongo JUU SDA CHOIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Makongo JUU SDA CHOIR:

Share