Pastor Ezekiel Dismas

Pastor Ezekiel Dismas Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pastor Ezekiel Dismas, Religious Center, Dar es Salaam.

KATAA KUWA KIZAZI CHA SHOKOA/GE-NZ❌Hivi unawajua shokoa🤔?Naweza kusema kwamba, Shokoa ni kizazi cha watu wasiomjua Mungu...
07/02/2026

KATAA KUWA KIZAZI CHA SHOKOA/GE-NZ❌

Hivi unawajua shokoa🤔?

Naweza kusema kwamba, Shokoa ni kizazi cha watu wasiomjua Mungu. Kwa Nyakati hizi ndo hawa wanaojiita watoto wa 2000 (GE-NZ). Na kizazi hiki ndicho nazani kilitabiriwa na Bwana Yesu Mathayo4.

Historia ya Israel katika kitabu cha Waamuzi1 kinaelezea Maagizo ya Mungu kwa watoto wake. Moja ya Maagizo hayo ni kuwaondoa wenyeji wa nchi ya kanaani ili Waisrael wapate kukaa kwa amani katika nchi waliyopewa na Mungu.

Lakini jambo baya ni kwamba hawakutii agizo la Mungu hivyo hawakuwatoa hao watu bali waliwageuza kuwa watumwa wao(Waamuzi127-28). Na wengine wakazaa na wafanya kazi wao hivyo kizazi cha SHOKOA kikazidi kuongezeka

UNAJUA SHOKOA WANA TABIA GANI (GE-NZ) 😁

1.Wezi wa wake/Waume za watu.

2.Ni kizazi kisichomjua wala kumpenda Mungu.

3.Hawasikii jambo la kuambiwa na ukiwaonya wanaona unawanyanyasa

4.Kuhama hama makanisa k**a ngombe wa KIMASAI 😱

5.Kujiita wameokoka na kwenye sim zao,na Laptop wanaweka password ili kuficha picha na video mbaya

6.wanajiita wameokoka na hawaachi nyimbo za Dunia maana baba yao Shetani ni Mungu wa Dunia kwahiyo lazima wapende vya baba yao.

7.Hawataki kuoa wala kuolew kwa utaratibu

8.Wanapenda kusikilizia nyimbo zinazoamasisha Uzinzi, Kuachana, ulevi na vurugu. MFANO NILIKUWA KWENYE BUS NIKASIKIA WIMBO UNAIMBWA "SIKUPENDI"🤔

9.Hawajui kuhifadhi pesa hata umpe milioni miamoja leo, kesho Asubuhi utakuta anabet na amebakiwa na chench za kununua juice za matunda tu😊. SISI WAHENGA WANATUINA WABAHIRI@

📌NUKUU YA MAMA: Mwanangu ujana ni maji ya moto jilinde usikuunguze. Wengi wameharibu kesho yao kwa kushindwa kuilinda leo. Ukawe hodari na moyo wa ushujaa ukasinde ujana🙏🙏.

HIVI ITAKUSAIDIA NINI MY BROTHER /SISTER KUWA NA WANAWAKE AU WANAUME WENGI NA KUFANYA ANASA ZOTE NA UKAENDA NA KASI YA KIZAZI HIKI ALAFU AT THE END OF THE DAY UKAMKOSA MUNGU?😥

MAOMBI
------------------
KATIKA UHARIBIFU HUU WOTE NAOMBA MUNGU AKUSAIDIE USHINDE TABIA ZA KIZAZI HIKI. MUNGU AKUTENGE WEW NA NDUGU ZAKO NA MARAFIKI ZAKO NA WOTE WANAOKUZUNGUKA.KATIKA JINA LA YESU KRISTO MUNGU AKUTENGE NA TABIA ZA UJANA. AMEN.

❌INGAWA NIMEZALIWA KWENYE KIZAZI HIKI, LAKINI NATANGAZA HADHARANI LEO NAKATAA TABIA ZA KIZAZI HIKI ❌. SIWEZIIIII KUWA SHOKOA WALA GE-NZ . MIMI NI MUHENGA KWA JINA LA YESU ☺️☺️. BORA NIITWE MSHAMBA, UNCIVILLIZED, UPDATED MAN KULIKO KUITWA MTOTO WA 2000 GE-NZ.

03/02/2026

Mapito hayazuii utimilifu wa ahadi za Mungu katika maisha yako. Just focus na Mungu atakutokea 🙏🙏

03/02/2026

Mithali 21:9
[9]Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini,
Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
It is better to dwell in a corner of the housetop, than with a brawling woman in a wide house.

03/02/2026

May divine protection be with you tonight

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Ezekiel Dismas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share