Terrat

Terrat HABARI WAPENDWA NI MUDA NA WAKATI UMEPITA SASA BILA KUKUTANA KWA MENGI MAPYA ILA NIKUOMBE UKUMBUKE S

01/03/2026

Ni siku nyingine mpya Tena aliyoifanya bwana

25/02/2026
Wito Umetolewaa kwa Wahumini wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania KKKT Kuwa na Imani ya kweli na Yenye Matendo ili...
22/02/2026

Wito Umetolewaa kwa Wahumini wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania KKKT Kuwa na Imani ya kweli na Yenye Matendo ili Kuyashinda Majaribu ya Mwovu Shetani.

‎Hayo yamenenwa Leo na Mtumishi Loth Meliyo wakati wa Mahubiri ya Neno la Mungu katika Ibada ya Kwanza kwenye Mtaa wa Terrat Usharika wa Simanjiro Jimbo la Masai kusini Kati.

‎Amesema Kila Mtu amuaminiye Mungu katika Roho na Kweli apaswa kusimama katika Imani iliyo ya Kweli na yenye Matendo kwa kuwa Majribu hayaba budi Kutoke.

‎Aidha amewaasa wakristo wa Mtaa huo kuyakimbia Majaribu na kudumu sana katika Kukesha na kuomba kwani njia Pekee na silaha ya Nguvu Katika kuyashinda Majarubu kwa Muumini ni Maombi.

‎Aidha Mtumishi Loth amesema yawapasa waumini kuyaishi Maandiko Matakatifu wapitiapo Maajaribu k**a ilivyokuwa wakati wa Mateso ya Yesu alipojaribiwa na Mwovu Shetani.

22/02/2026

‎Wito Umetolewaa kwa Wahumini wa Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania KKKT Kuwa na Imani ya kweli na Yenye Matendo ili Kuyashinda Majaribu ya Mwovu Shetani.

‎Hayo yamenenwa Leo na Mtumishi Loth Meliyo wakati wa Mahubiri ya Neno la Mungu katika Ibada ya Kwanza kwenye Mtaa wa Terrat Usharika wa Simanjiro Jimbo la Masai kusini Kati.

‎Amesema Kila Mtu amuaminiye Mungu katika Roho na Kweli apaswa kusimama katika Imani iliyo ya Kweli na yenye Matendo kwa kuwa Majribu hayaba budi Kutoke.

‎Aidha amewaasa wakristo wa Mtaa huo kuyakimbia Majaribu na kudumu sana katika Kukesha na kuomba kwani njia Pekee na silaha ya Nguvu Katika kuyashinda Majarubu kwa Muumini ni Maombi.

‎Aidha Mtumishi Loth amesema yawapasa waumini kuyaishi Maandiko Matakatifu wapitiapo Maajaribu k**a ilivyokuwa wakati wa Mateso ya Yesu alipojaribiwa na Mwovu Shetani.

22/02/2026
null 41 : Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. 2 : Akafunga siku arobaini mchana na usiku,...
22/02/2026

null 4
1 : Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.

2 : Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.

3 : Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.

4 : Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

5 : Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,

6 : akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

7 : Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

8 : Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,

9 : akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.

10 : Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

11 : Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.

Tuwe Sote ktk kumtumikia Mungu kwa hali na Mali Karibuni Nyumba Kwa Bwana.
19/02/2026

Tuwe Sote ktk kumtumikia Mungu kwa hali na Mali Karibuni Nyumba Kwa Bwana.

Tumerudi tena Kwa Mwaka 2026 Baada ya kutoweka kwa Miakakadhaa Hata Sasa MUNGU wetu anaweza
19/02/2026

Tumerudi tena Kwa Mwaka 2026 Baada ya kutoweka kwa Miakakadhaa Hata Sasa MUNGU wetu anaweza

Address

Simanjiro
Dar Es Salaam

Telephone

+255767411416

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Terrat posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share