Dar es salaam City

Dar es salaam City Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dar es salaam City, Narungombe Street, Dar es Salaam.

02/07/2022
Hi quality cardets, shirts and dresses are available just for you...
29/08/2021

Hi quality cardets, shirts and dresses are available just for you...

Towel available at affordable price,
21/07/2020

Towel available at affordable price,

Nilimtafutia mke wangu kazi ya kufagia kwa Boss wangu mchina, alivyo mwona akasema atakuwa msaidizi wake, alivyo pata mi...
11/03/2020

Nilimtafutia mke wangu kazi ya kufagia kwa Boss wangu mchina, alivyo mwona akasema atakuwa msaidizi wake, alivyo pata mimba stage ya mwisho alimpa likizo, pia akanipa laki mbili, tumebahatika kupata mtoto wakwanza! Boss wangu kasafiri kwao ameniahidi akirudi atanipandisha cheo!

Neno moja kwao..!!!

Tuambie
11/03/2020

Tuambie

Tuambie usalama upo kweli?
11/03/2020

Tuambie usalama upo kweli?

Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko ...
10/12/2019

Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao.

Eti kumtumikisha dada wa kazi apige deki, apike, afue nguo, aoshe vyombo wakati wanao wanaangalia TV. Ni kumuandaa mdada wa kazi kuwa mwanamke anayewajibika kuliko wanao.

Kumuacha binti wa kazi aandae watoto kwenda shule, awaandalie uji mapema, awalishe, awasafishe wakati wanao wanacheza gemu kwenye simu au computer Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mama na mlezi bora kwa watoto kuliko wanao.

Na kwakuwa yote hayo unayafanya kwa masimango na manyanyaso unamfanya mdada wa kazi kuwa jasiri mwenye kuzikabiri changamoto za ndoa yake kuliko wanao.

Ukimaliza kwa kusema mwanao akiwa hajui hayo yote, ndoa ikiharibika mnazunguka kutafuta maombi kwa wachungaji kumbe ninyi mmeharibu ndoa za watoto wenu.

Msiwasumbue wachungaji.

 !!!Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu,yan...
09/12/2019

!!!

Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu,
yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu.

Akifikia umri wa miaka 40, makucha yake magumu na makali yanakosa uwezo wa kunyakua chakula, mdomo wake uliochongoka unapinda, mabawa yake yanakuwa mazito na kunata kwenye kifua chake hivyo kumfanya kuwa mzito kuruka na kuwa mwenye kasi ndogo.

Katika hali hiyo ndege huyo hubakiwa na maamuzi mawili; aidha akubali kufa au afanye mabadiliko katika mwili wake ili aendelee kuishi miaka 30 iliyobakia.

Akichagua kufanya mabadiliko kwenye mwili wake humchukua siku 150 sawa na miezi 5, hivyo huenda katika kilele cha mlima mrefu na kujificha katika pango ambapo watu na wanyama wengine wanaoweza kumzuru hawafiki. Ndipo huanza kujivua kucha, midomo na mbawa zake zilizozeeka huku akisikilizia maumivu makali, baada ya mabadiliko hayo hurudi katika hali yake ya mwanzo ya kuweza kuruka kwa kasi na kupata chakula chake kizuri (fresh meat).

Bado siku chache ili tumalize mwaka, hivyo lazima ufanye mabadiliko makubwa sana katika maisha yako, ujivue baadhi ya tabia ambazo zimeleta Ukakasi katika maendeleo yako ya 2019 japo zingine ni ngumu kuziacha na pengine zitakusababishia Maumivu lakini "no pain no gain" lazima ujivue baadhi ya Marafiki wasiolekea unakoelekea, jivue Uvivu, jivue Uongo, jivue Mahusiano yasiyo na Amani, jivue Ulevi, jivue kulala sana, jivue Uasherati, jivue kuahirisha ahirisha Mipango yako, na mengine yanayofanana na hayo.

Ikiwa Tai anafanya maamuzi ya kubadilika akiwa na miaka 40, hata wewe bado hujachelewa...Fanya mabadiliko sasa, ingia Mwaka 2020 ukiwa na Tabia mpya na Mtazamo Mpya kwa ajili ya kuanza safari yako mpya ya maisha.

🙏

Online Goshen Ministries

Address

Narungombe Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255769477371

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dar es salaam City posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share