Efatha Church kimara

Efatha Church kimara Efatha Church Kimara, located at Kimara Mwisho opposite with Midlands High School.You 're all welcome

23/08/2026

KAZI YA MATAMKO NI KUBADILISHA HEKIMA NA AKILI YA MTU - Stella Giisler

Fundisho la Neno la Mungu; NGUVU YA MATAMKO.Stella Giisler
23/08/2026

Fundisho la Neno la Mungu; NGUVU YA MATAMKO.
Stella Giisler

Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
23/08/2026

Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

MALAKI 3:10, "Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA...
23/08/2026

MALAKI 3:10, "Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue k**a sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la."

Fungu la kumi ni ulinzi kwenye maisha yako. Ukitoa linamfanya Mungu akulinde dhidi ya mkono wa adui kwenye fedha zako na kukupetea ustawi wako. Mtolee Mungu kitu kilichokamili.

MTUMISHI DAUDI JOHN.


Praise the Lord! Praise the Lord, O my soul! While I live, I will praise the Lord; I will sing praises to my God while I...
23/08/2026

Praise the Lord! Praise the Lord, O my soul! While I live, I will praise the Lord; I will sing praises to my God while I have my being.


Bless the Lord, O my soul; And all that is within me, bless His holy name! Bless the Lord, O my soul, And forget not all...
23/08/2026

Bless the Lord, O my soul; And all that is within me, bless His holy name! Bless the Lord, O my soul, And forget not all His benefits.
Sunday Service RECAP~ 23/08/2026.


KARIBU SANA KWENYE IBADA MAALUMU SIKU YA JUMAPILI.Itakuwa ni Ibada ya kuvunja matamko. Itaongozwa na Mchungaji kiongozi ...
21/08/2026

KARIBU SANA KWENYE IBADA MAALUMU SIKU YA JUMAPILI.
Itakuwa ni Ibada ya kuvunja matamko. Itaongozwa na Mchungaji kiongozi Stella Mapunda. Mkaribishe mwingine kwenye ibada hii, usije peke yako.
*Usipange kukosa.*

HALELUYA.......................Siku ya leo kutakuwa na Ibada Ya Ukombozi kanisani Efatha Kimara. Hii si ya kukosa kabisa...
19/08/2026

HALELUYA.......................

Siku ya leo kutakuwa na Ibada Ya Ukombozi kanisani Efatha Kimara. Hii si ya kukosa kabisa. Unakaribishwa kupata Ufahamu wa Neno la Mungu na Maombi. Muda ni kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 12 jioni. Mwalike ndugu, jamaa na rafiki katika ibada hii.

16/08/2026

NIA YA MWILI NI MAUTI - MTUME MAGRETH ILOMO

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church kimara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church kimara:

Shortcuts

Share