Maombi na maombez church

Maombi na maombez church Tegete jkt

watumishi wakimtukuza Mungu  siku ya mwaka mpya.........
08/01/2020

watumishi wakimtukuza Mungu siku ya mwaka mpya.........

21/12/2018

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu

Nawatakia ibada njema mungu akakutane na mahitaji ya kila mmoja,
12/02/2017

Nawatakia ibada njema mungu akakutane na mahitaji ya kila mmoja,

17/01/2017

Hakika yesu ni bwana

28/07/2016

Mungu ndiye msemaji wa mwisho . K**a unaamini sema. "AMEN"

21/01/2016

Karbun katka kanisa la maombi na maombez lililopo jktmecco njon muone mungu anavyotenda mambo makubwa.. Kwa mawasiliano zaid 0715708877 au 0675400961

08/01/2016

Tunaweza yote kwa yy atutiae nguvu.

05/01/2016

Mkumbuke muumba wako cku za ujana wako kbla hazjaja cku zlizo mbaya.:|

07/08/2015

Yupo mungu anaejua mwisho wa maisha yako jambo moja ni kumtunikia ili akubariki.

27/07/2015

Mshukurun mungu kwa kila jambo.

25/07/2015

Napenda nikukaribishe mpendwa ktk bwana kwenye ibada ya maombi na maombezi yenye nguvu za mungu na udhihilisho mwingi wa roho mtakatifu sku ya j'pili saa3:30 had 6:30 mchana wapo wengi wamekuja kupokea miujiza yao kesho nizamu yako na ww kupokea, mahali ni tegeta jkt

22/07/2015

Napenda niwakiribishe ktk maombi yanayoendelea mahali hapa ktk kansa la maombi na maombezi. Hata k**a unashida na matatizo mbalimbali utakapo kuja mahali hapa utapokea uponyaji wako.

Address

Tegeta Wazo Hill
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maombi na maombez church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share