Prophet Josephat Kessy

Prophet Josephat Kessy Welcome to the OFFICIAL page for The Mountain of the Lord Jehova Church (MBY Church) and Joseph Kessy Ministries.

20/07/2026
11/07/2026

*IBADA ZA JUMAPILI*
KANISA LA MLIMA WA BWANA YEHOVA
"Mungu ana Neno kwa ajili yako Jumapili hii. Njoo ushuhudie matendo makuu.```
*📆Tarehe : 12 JULY 2026*
*⏰Muda : 12:30-02:30 Asubuhi*ibada ya kwanza
03:30-07 mchana ibada ya pili

"Nathanaeli akamwambia, Laweza neno jema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone".(Yohana 1:46)
By Nabii Josephat kessy viwanja vya benk uwanjani barabara ya kuelekea bunyokwa mwisho
Karibu

12/06/2026

Sifa za mzaliwa wa kwanza:
1. Mzaliwa wa kwanza ni kiongozi; mzaliwa wa kwanza ni kiongozi kwenye familia, au jamii inayomzunguka.
2. Mpatanishi; mzaliwa wa kwanza anahusika katika kuleta maelewano katika familia.
3. Mshauri; mzaliwa wa kwanza ni mshauri wa famalia, na huwa mawazo yake yanapokelewa na wanafamilia.
Haki za mzaliwa wa kwanza:
1. Kuonya; mzaliwa wa kwanza ana-haki ya kutoa maonyo pale anapoona muelekeo na mwenendo mbaya.
2. Kumiliki; mzaliwa wa kwanza amepewa haki ya kumiliki kila kitu kilichopo katika familia.
3. Kutawala; mzaliwa wa kwanza ni mtawala. Katika familia, mzaliwa wa kwanza huwa anawatawala wadogo zake, na pia anatawala kimaamuzi katika familia.

Katika familia nyiongi siku hizi wazaliwa wa kwanza wamepoteza sifa na haki halali za mzaliwa wa kwanza, na ukiwatazama Maisha yao hayaeleweki.
Leo hii, ninarejesha kwako haki na sifa za mzaliwa wa kwanza.
Pokea kwa Jina la Yesu…..

08/05/2026

KILA ANAYEKUHARIBIA MAISHA YAKO APIGWE LEO KWA NGUVU YA JINA LA YESU
BY NABII JOSEPHAT KESSY SEGEREA MWISHO KARIBU IBADANI LEO NI SIKU YA KUWAUWA WACHAWI WOTE WANAOKUONEA
KWA SADAKA MAALUMU KWAAJILI YA KUWAUWA K**A HAUTAFIKA KANISANI TUMA KWA NAMBA HII ACCOUNT NUMBER CRDB 0152487373900
MIX 0658333596
VODA 0794413596

08/05/2026

K**A UMEWASHA DATA SASA HIVI ,
ANDIKA HAPO MUNGU NIFUTE MACHOZI LEO NINAYOLIA😭
BY NABII JOSEPHAT KESSY SEGEREA MWISHO KARIBU IBADANI LEO NA J2 HII USIKOSE NI MWISHO WA MACHOZI UNAYOLIA, YA NDOA, KAZI, BIASHARA, KWENYE HUDUMA, UZAO, WATOTO, UCHUMI, MAHUSIANI NK.
NAMBA YA KUJIUNGAMANISHA NA MADHABAHUU KWA SADAKA TUMA KWA NAMBA HII ACCOUNT NUMBER CRDB 0152487373900
MIX 0658333596
VODA 0794413596

08/05/2026

Wewe ndio utaondoa umaskini kwenu !!!!
K**a unaamini sema
AMEEN
By Nabii Josephat kessy segerea mwisho Karibu Alhamis hii saa tisa jioni
Na j2 hii usikose saa tatu na nusu asubuhi hadi saa saba mchana
Kwa sadaka maalumu kwaajili yako tuma kwa namba hii Account number CRDB 0658333596
Mix 0658333596
Voda 0794413596

08/05/2026

NIMEONA PESA NYINGI SANA ZINAKUJA KWAKO SASA HIVI KWA NGUVU YA JINA LA YESU POKEA
BY NABII JOSEPHAT KESSY SEGEREA MWISHO KARIBU SANA IBADANI J2 HII USIKOSE
KWA SADAKA MAALUMU KWAAJILI YA TUMA KWA NAMBA HII ACCOUNT NUMBER CRDB 015247373900
MIX 0658333596
VODA 0794413596

07/05/2026

Nimesikia yale maneno yaliyotoka kinywani mwake kwenye ukumbi huko JNICC alipokuwa na Ruto. Maneno ya kipuuzi, maneno machafu, maneno ya kejeli na unyama! Anasema wamezungumza na Ruto: “Wakija kwangu nachapa mikwaju! Wakija kwako uwachape mikwaju!” Kwa sababu tu ya kuzungumzia demokrasia? Kwa sababu tu ya kudai haki? Kwa sababu tu ya kupinga dhuluma?

Mikwaju gani hiyo? Ni nini mikwaju? Ni kuchomwa sindano? Ni kubakwa? Ni kuteswa kingono k**a walivyomfanya Boniface Mwangi? Ni kumteka nyara na kumtupilia mpakani? Hii ndiyo lugha ya rais wa nchi? Hii ndiyo kauli ya kiongozi anayetakiwa kutuongoza?

Jamani, hii ni aibu kubwa! Aibu isiyokuwa na kifani katika historia ya Tanzania! Haijawahi kutokea rais akazungumza maneno machafu k**a haya hadharani. Mtu anayejiita mwana CCM, anayejiita kiongozi wa taifa, anaropoka vitu vya kipuuzi, vya kijinga, vya kinyama k**a hivyo!

Hakuna mtu karibu yake anayemshauri? Hakuna mshauri mmoja anayesema “Samia, hii lugha haifai kwa ofisi ya urais”? Au wote wamefumba macho na kuwa vibaraka?
Hii inamaanisha nini? Inamaanisha kwamba wameamua kushirikiana na Ruto kuwapiga watu mikwaju wote wanaodai demokrasia halisi. Wanataka kulibariki unyama. Wanataka kufanya mateso na ukatili kuwa mfumo rasmi wa serikali zao. Hii si uongozi — hii ni udikteta uliofichwa kwa suti na tie!
Watanzania, tumefika wapi? Tumefika level gani mbaya hivi kwamba rais anatishia kuwapiga raia wake na wageni mikwaju kwa sababu tu ya kutaka uhuru wa kujieleza?

Demokrasia si Coca-Cola, anasema. Sawa. Lakini je, mateso na ukatili ni “demokrasia yetu”? Je, kubaka na kuteswa ni mila yetu? Je, kuwanyamazisha wapinzani kwa nguvu ni “amani”?
Hii ni fedheha! Hii ni aibu kwa taifa zima! Rais anapata kiburi cha ajabu. Anazungumza k**a mtu ambaye amesahau kwamba madaraka yanatoka kwa wananchi, si kwa silaha au sindano za mateso.

Ndugu zangu, wakati umefika wa kufakari kwa kina. Ikiwa tumefika hapa — rais akizungumza lugha chafu, akishirikiana na wenzake kuwatesa wanaodai haki — basi nchi yetu iko hatarini kubwa. Hatutaendelea kaa kimya. Hatutaendelea kuteswa na kuogopwa.
Tumechoka na maneno matupu na vitendo vya unyama!
Tumechoka na viongozi wanaotutishia mikwaju badala ya kutuletea maendeleo!
Tumechoka na serikali inayowinda raia wake badala ya kuwalinda!
Inatosha!

Wananchi, simameni kidete. Sauti zenu ziweze kusikika. Usikubali kufanywa kitoto na kauli za kejeli chafu. Demokrasia halisi inajengwa na watu, si kwa mikwaju na vitisho.

Address

Kanisa La Mlima Wa Bwana Yehova, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
12105

Telephone

+255658333596

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Josephat Kessy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share