26/03/2026
Advance groups ipo kunoa, kufunza, kuhamasisha na kuinua uinjlisti na wainjilisti makanisani. Tunaamini Injili ni habari njema inayopaswa kutangazwa na haijapoteza nguvu zake za kuokoa. Kwa semina elekezi za Uinjlisti na mafunzo . Wasiliana nasi. [email protected]