30/06/2026
Je, una shauku ya kumtumikia Mungu?
Je, unatamani kujifunza Neno la Mungu kwa kina na kuliishi katika maisha yako ya kila siku?
Unakaribishwa kujiunga na programu ya kujifunza Neno la Mungu, iliyoandaliwa mahsusi kwa vijana wa vyuo vikuu na wahitimu wenye moyo wa kumtumikia Mungu na kukua kiroho. Programu hii ni BURE hauhitaji kulipia.
π Ratiba za masomo:
Asubuhi: Saa 9:00am β Saa 1:00am
Jioni: Saa 16:00 β Saa 21:00 usiku
Kila session huchukua saa 1, hivyo unaweza kuchagua muda unaokufaa.
Masomo yanafanyika kwa njia ya Google Meet, au unaweza kuhudhuria ana kwa ana katika kituo chetu cha Kivulini, mkabala na Mlimani City (kwa vipindi vya mchana).
Karibu sana! Tunafurahi kukupokea ili kwa pamoja tujifunze Neno la Mungu, tukue katika imani, na tuishi maisha yanayompendeza Mungu.
Mungu akubariki!
0677963745