Magomeni Seventh-Day Adventist Church

Magomeni Seventh-Day Adventist Church Seventh-Day Adventist Church Magomeni is the local church of the Seventh-Day Adventist Church worldwide.
(1)

Sabato, siku ya tarehe 16.12.2023 tutakuwa na Sabato ya pekee inayolenga kufanya changizo (fundraising) kwaajili ya kuka...
30/11/2023

Sabato, siku ya tarehe 16.12.2023 tutakuwa na Sabato ya pekee inayolenga kufanya changizo (fundraising) kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa Kanisa ambalo kwa sasa liko hatua ya finishing.. Pia kujenga 'kituo cha mvuto' centre of influence ambacho kitasaidia vijana wa makundi mbalimbali katika jiji la Dar es Salaam bila kujali dini, madhehebu na wanakotoka.

KARIBU KATIKA SABATO MAALUM YA WAGENI TAREHE 29.04.2023
26/04/2023

KARIBU KATIKA SABATO MAALUM YA WAGENI TAREHE 29.04.2023

Magomeni Big Day 17.12.2022
15/12/2022

Magomeni Big Day 17.12.2022

Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni linawakaribisha wote katika Siku Kuu ya Kutoa Sadaka ya Ujenzi wa Kanisa; Mago...
15/12/2022

Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni linawakaribisha wote katika Siku Kuu ya Kutoa Sadaka ya Ujenzi wa Kanisa; Magomeni Big Day Jumamosi hii Tarehe 17.12.2022...Mgeni Rasmi Katika Siku hii ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa.

Every Wednesday is a Day of Vespers!
27/10/2022

Every Wednesday is a Day of Vespers!

02/08/2022

Mimbari ya Makambi yetu mwaka huu, itawaleta pamoja;
👉🏻Original Hallelujah Revival - Zimbabwe
👉🏻Saint Ministers - Kenya
👉🏻Uaminifu - Ukonga
👉🏻Wabeba Nuru - Magomeni
👉🏻MYC - Magomeni
👉🏻Kwaya ya Magomeni
👉🏻Gospel Flames
👉🏻The Lighthouse

Tutakuwa na uimbaji wa pekee. Kila siku baada ya "dinner" tutakuwa na wasaa wa kumtukuza Mungu kwa njia ya nyimbo za sifa.

Sikukuu za vibanda zimekaribia. Tunaenda kuishi Kijiji cha Kwembe kwa muda wa siku nane, tukishukuru,tukijifunza neno  n...
01/08/2022

Sikukuu za vibanda zimekaribia.
Tunaenda kuishi Kijiji cha Kwembe kwa muda wa siku nane, tukishukuru,tukijifunza neno na kumsifu Mungu kwa nyimbo.

Kutakuwa na kambi la watu wazima
Kutakuwa na kambi la watoto
Kutakuwa na kambi la vijana
Wote tutahudumiwa kwa mahitaji yetu. Usipange kukosa

Karibuni wote

29/07/2022

Watoto ni mbaraka mkubwa katika kanisa letu, tuwafundishe vyema na kuwalea kwa njia inayompendeza Yesu. Waandae watoto wako wahudhurie katika kambi la mwaka huu Kwembe. Watajifunza na kumjua Mungu zaidi na zaidi.

Mch. Mark Barnabas kutoka TRVF ndiye Mnenaji Mkuu kwenye Makambi yetu mwaka huu. Bwana amembariki mtumishi wake huyu kwa...
25/07/2022

Mch. Mark Barnabas kutoka TRVF ndiye Mnenaji Mkuu kwenye Makambi yetu mwaka huu. Bwana amembariki mtumishi wake huyu kwa karama na vipawa vingi na amekuwa mbaraka mkubwa kila aliposimama kuzungumza na watu wa Mungu.

Karibu upate mibaraka ya kambi la mwaka huu na sabato hii ya tarehe 30 Julai itakuwa sabato maalum kwa ajili ya matoleo ya sadaka ya matumizi ya kambi.Nakualika kuwa sehemu ya wanaoazimia kukamilisha Matoleo ya Sadaka hii. Tukiamini na kujitoa, Bwana atutafanikisha.

Mungu akubariki

11/07/2022

Hebu tazama, hii ni mandhari ya Kambi letu la Mwaka jana.Ni mahali hapa hapa ambapo Bwana amepachagua tukambike tena mwaka huu. Ikiwa bado hujatoa au kukamilisha Sadaka yako ya Matumizi ya Kambi, guswa leo, tenga kiasi stahiki utoe kwa njia ya mtandao, account ya benki au andaa sadaka hiyo uje uitoe Sabato hii. Tarehe 30 mwezi huu Julai, 2022 itakuwa ni siku kubwa ya kumtolea Bwana. Endelea kupunguza na tarehe 30 tuje kwa pamoja tukamilishe matoleo yetu haya.

Address

P. O. Box 100158
Dar Es Salaam

Opening Hours

Wednesday 16:00 - 19:30
Friday 16:00 - 18:30
Saturday 07:30 - 19:00

Telephone

+255765488386

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magomeni Seventh-Day Adventist Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Magomeni Seventh-Day Adventist Church:

Share