Asw-Haabul KAHFI Islamic Centre

Asw-Haabul KAHFI Islamic Centre ASW-HAABUL KAHFI ISLAMIC CENTRE NI NIKITUO KINACHO JISHUGHILISHA NA KUTOA ELIMU YA DINI NA ELIMU YA

23/02/2019

Inshallah tutakuwepo, Allah awafiqishe

Bismillah¥€€ nawaona wadau wa Taasisi ya Asw haabul kahfi yombo Temeke
09/02/2019

Bismillah¥€€ nawaona wadau wa Taasisi ya Asw haabul kahfi yombo Temeke

Tunahaja yakuwepo ktk msikiti wa Shekh Nur deen Kishki, Siku ya Ijumaa ilikupata ripoti ya Uislaamu unavyo kua kwa kasi ...
24/07/2018

Tunahaja yakuwepo ktk msikiti wa Shekh Nur deen Kishki, Siku ya Ijumaa ilikupata ripoti ya Uislaamu unavyo kua kwa kasi U S A
# #شيخ نور الدين اهدلي (كشك) سيخاطب الناس عن زيارته فى أمريك،،كن معنا فى مسجده VETINARI اهلا وسهلا

Hakika kumlea mtoto katika mazingira ya kumjua aliemuumba nakumtumikia kisha akaijua elimu ya mazingira yake itakuwa nih...
19/07/2018

Hakika kumlea mtoto katika mazingira ya kumjua aliemuumba nakumtumikia kisha akaijua elimu ya mazingira yake itakuwa nihatua kubwa sana,,,
Katika day ceya hii ya Asw haabul kahfi inatoa hudumu za elimu zote mbli,, Dar es salaam, Temeke Yombo vituka karibuni

17/07/2018
Kamailivyo kawaida yaTasisi ya Asw haahul kahfi ,,hupokea vijinjwa ktk Sikukuu ya Edi lhaji,kisha huwafikishia wanajamii...
17/07/2018

Kamailivyo kawaida yaTasisi ya Asw haahul kahfi ,,hupokea vijinjwa ktk Sikukuu ya Edi lhaji,kisha huwafikishia wanajamii wanao ishi ktk mazingira magumu,mayati na wajane ,,,karibu sana ktk kituo chetu tuuendeleze uislaam.

DAWA! DAWA! DAWA Asalaikum dawa ya kufukuza (kuaondoa ) majini wabaya na uchwawi ktk kiwiliwili chako ni hii hapa inaitw...
19/02/2016

DAWA! DAWA! DAWA
Asalaikum dawa ya kufukuza (kuaondoa ) majini wabaya na uchwawi ktk kiwiliwili chako ni hii hapa inaitwa SIDR VICKS ni mafuta yaliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu baadhi ya matilio yaliyoko ndani yake ni p1 na mkunazi na yamesomewa kisomo cha RUKIA YA KISHERIA
matumizi: mgonjwa anajipakaa asubuhi na usiku baada ya kuoga
vitu ambavyo unaweza kujua baada ya kupakaa maumivu ya kichwa au maumivu sehemu yeyote ya mwili jilazimishe kutumia ndiyo mapambano hayo kuonesha dawa inafanya kazi bei ni nafuuu xan unaweza kuwasiliana no
0717641057

17/02/2016

TANGAZO TANGAZO

ASW-HAABUL KAHFI ENGLISH MEDIUM
NURSERY SCHOOL WANAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA NURSERY KWA WATOTO WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 3-6
SHULE INAFUNDISHA KUSOMA, KUANDIKA NA KUESABU (K*K TATU)
MASOMO YAFUNDISHWAYO NI K**A IFUATAVYO
HISABATI
KISWAHILI
ENGLISH
ARABIC LANGUAGE
ISLAMIC KNOWLEDGE

ADA ZETU NI NAFUU SANA NA TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO BURE:- MADAFTARI, PENSELI, NA UJI

SHULE INA MAZINGIRA MAZURI YA KUSOMA NA KUCHEZA KWA WATOTO

MLETE MWANAO ASW-HAABUL KAHFI ENGLISH MEDIUM - NURSERY SCHOOL APATE ELIMU BORA NA SI BORA ELIMU

OUR MOTOR: STRUGGLE TO ACHIEVE

25/09/2015

Nafasi za masomo! CHUO CHA ASW HAABUL KAHFI WANAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO CHUONI KWAO! FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KWA MWALIMU MKUU OSTADH HAROUNA MUSTAPHA FOMU NI BEI NAFUU SANA TSHS 5,000/= TU WAHI SASA UJIPATIE FOMU KWA MANUFAA YA MWANAO

19/07/2015
19/07/2015

Address

S. L. P 17406
Dar Es Salaam
12345

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asw-Haabul KAHFI Islamic Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share