TAG Jubilee Christian Centre Salasala

TAG Jubilee Christian Centre Salasala Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TAG Jubilee Christian Centre Salasala, Christian church, Box 9593, Dar es Salaam.

25/10/2021
27/08/2021
Karibuni sana katika ibada zetu. Jtano, ijumaa SAA kumi jioni na Siku ya Jpili ibada huanza SAA tatu asubuhi. Tupo mwish...
19/06/2019

Karibuni sana katika ibada zetu. Jtano, ijumaa SAA kumi jioni na Siku ya Jpili ibada huanza SAA tatu asubuhi. Tupo mwisho wa lami kwa Osca/ Magereza. Mungu awabariki

Karibuni kanisa la TAG-Jubilee Christian Centre Salasala, karibu na mkuu wa magereza  Tuweze kumwabudu Mungu ktk Roho na...
28/05/2018

Karibuni kanisa la TAG-Jubilee Christian Centre Salasala, karibu na mkuu wa magereza Tuweze kumwabudu Mungu ktk Roho na Kweli (Yohana 4:23-24). Pia tuweze kujifunza neno LA kweli lenye kutupatia uzima wa milele (Yohana 17:3).

12/05/2018

Karibuni sana ibada ya kesho, kanisa letu lipo salasala, unapotoka mwenge kwenda tegeta shukia kituo cha mbuyuni panda bajaji au bodaboda hadi kwa mkuu wa magereza mstaafu. Utaona kibao cha TAG Jubilee Christian Centre.

Tunawatakia heri na Baraka za mwaka mpya 2018. Karibuni wote, tupo Salasala Kilimahewa  "Kwa Magereza". Ibada zetu Jpili...
30/12/2017

Tunawatakia heri na Baraka za mwaka mpya 2018. Karibuni wote, tupo Salasala Kilimahewa "Kwa Magereza". Ibada zetu Jpili kuanzia SAA Tatu asubuhi, Jnne Vijana, Jtano Mafundisho ya Neno, Ijumaa Maombezi.

Mch. James Mkuchu.

Karibuni Jubilee Christian Centre Salasala.
06/11/2017

Karibuni Jubilee Christian Centre Salasala.

Yesu atahubiriwa kwa njia mbalimbali. Hapa ni uwanja wa Taifa siku Yanga ilipocheza na Timu ya Haleluya Sports Club kuto...
13/07/2017

Yesu atahubiriwa kwa njia mbalimbali. Hapa ni uwanja wa Taifa siku Yanga ilipocheza na Timu ya Haleluya Sports Club kutoka Korea kusini. Lengo likiwa kuwaleta watu kwa Yesu. Nasi kanisa la JCC tuliwakilisha vizuri.

Address

Box 9593
Dar Es Salaam
(255)

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Jubilee Christian Centre Salasala posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share